akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,233
- 1,422
Watakuja kusema huna hela
[/QUOTE
Mbona ushasema.
Watakuja kusema huna hela
[/QUOTE
Mbona ushasema.
Sasa chief watu wote tukigoma kunywa maji ya chupa huko viwandani walipoajiriwa ndugu zetu itakuwaje? Vipi kuhusu serikali kukosa kodi? Ili uchumi wa nchi ukue kunatakiwa kuwe na miradi mingi itayotumika kusustain uchumi wa nchi na kutoa ajira umenipata?Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Heri ununue MAJI kuliko Kuchemsha Maji.chemsha maji weka kwa friji safi
Ukija kuomba maji kwangu nakwambia usinywe maji, kunywa bia 😂😂😂Kwa kimjini mjini jifunze ku mind your business for your own safety.
sio kwamba ni ushamba, ila ometime watu hawa pendi interaction ya ajabu ajabu.
eti ngo ngo ngo Kiranga naomba maji ya kunywa, una weza pewa jibu au maji ya bafuni kudadadeki 🤣🤣
Wewe siyo mimi siwezi kukuiga weye. Acha niwe mshamba hayakuhusu mambo ya wengineKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Hii kampen yako ni ya muda sana na umewekeza nguvu, hivi unafaikaje mkuu au wewe ni nani katika hii ajenda?Kama kupeleka watoto EMS wakati uwezo wako mdogo
Hapa kwangu tangu ninunue water dispenser imekua tabu! Natamani hata niipasue! Nimegombana na wife ila haelewi.Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
OhoooUmaskini bwana angalia ATM inavyokutazama ukitoa pesa za kutonunua majiView attachment 3403474
KudadekiiUkija kuomba maji kwangu nakwambia usinywe maji, kunywa bia 😂😂😂
Wabongo wengi kama mtoa mada ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovifahamu.