Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Ni sawa ila lazima kununuaSi ndiyo umeambiwa uache ulimbukeni 😅
Ni sawa ila lazima kununuaSi ndiyo umeambiwa uache ulimbukeni 😅
Ukisikiliza maneno ya watu utapoteaNi sawa ila lazima kununua
🤣🤣🤣Kwa kimjini mjini jifunze ku mind your business for your own safety.
sio kwamba ni ushamba, ila sometime watu hawa pendi interaction ya ajabu ajabu.
eti ngo ngo ngo Kiranga naomba maji ya kunywa, una weza pewa jibu au maji ya bafuni kudadadeki 🤣🤣
Aibu sana hii.Profesa Janabi si ndiye huyo anawashauri watu wale kwa namna hii na siyo ile bila hata ya kuweka caveat kwamba ushauri wa jinsi ya kula na kufanya mazoezi unatakiwa kuendana na vipimo vya mtu mmoja mmoja na kuwa individualized na daktari wake.
Nchi nzima inaambiwa kuleni hivi na si vile bila kujali mtu ana uzito gani, anafanya kazi gani, ana afya gani, ana mahitaji gani.
Sasa hiyo ndiye Peofesa msomi anashauri hivyo.
Kuna jamaa alikuja kutoa uzi hapa kafuata ushauri wa Janabi akaanguka kwa njaa.
Hawa wengine ndiyo kabisaa.
Kila mtu apambane kwa hali yakeUkisikiliza maneno ya watu utapotea
Kwenye swala la usalama huna hoja, labda tujadili kiuchumi tu utaeleweka.Unajua jinsi gani kiwandani wanaandaa don't feel safe kwa kunywa maji ya chupa..
Ndiyo inavyotakiwaKila mtu apambane kwa hali yake
Mkubwa kuna vitu vya ndani ya nyumba yako, Wewe ndiyo mkuu wa utawala nyumbani mwako, ni kuamua unachoona kinafaa.Hapa kwangu tangu ninunue water dispenser imekua tabu! Natamani hata niipasue! Nimegombana na wife ila haelewi.
Imagine kwa mwezi nanunua machupa yale ya lita 18 sio chini ya manne (45,000) halafu bili ya maji yote tunayotumia kuogea, kufua, kudeki, kuoshea vyombo, kupikia n.k. ni 27,000 😐
Ukisema uwasikilize watu wa humu hufanyi lakoNdiyo inavyotakiwa
Haya matatizo mengine ya kiutamaduni hayamalizwi na usomi wa darasani.Aibu sana hii.
Inakuwaje mtu hadi anakuwa Profesa ila anashindwa kujua tu kuwa watu wana mahitaji tofauti ya nutrients na kiwango cha mazoezi?
Haya mbona ni mambo ya kushangaza sana!
Usomi, zaidi ya madegree ni utamaduni?Haya matatizo mengine ya kiutamaduni hayamalizwi na usomi wa darasani.
Utamaduni mtu aliokua nao una nguvu sana kuzidi usomi wa darasani alioupata ukubwani.
Ndiyo maana mpaka leo wenye ma degree ni wengi lakini wasomi halisi ni wachache sana.
Kwa sababu usomi, zaidi ya madegree, ni utamaduni.
Utamaduni wa kuwa mdadisi, utamaduni wa kukosa woga, utamaduni wa kuwa mkweli, utamaduni wa kujua mipaka ya ujuzi wako, utamaduni wa kuheshimu michakato na mantiki ya kutafuta ukweli na si kuheshimu vyeo na majina.Usomi, zaidi ya madegree ni utamaduni?
Ni utamaduni kivipi mkuu?
Thank you.Utamaduni wa kuwa mdadisi, utamaduni wa kukosa woga, utamaduni wa kuwa mkweli, utamaduni wa kujua mipaka ya ujuzi wako, utamaduni wa kuheshimu michakato na mantiki ya kutafuta ukweli na si kuheshimu vyeo na majina.
Sasa ukilelewa katika utamaduni unaosema mkubwa hakosei tangu ukiwa mtoto, hata unapofundishwa darasani mwalimu akikosea inakuwa vigumu kum challenge na kumsahihisha.
Unapata wasomi waliokariri mambo bila kuyatafakari kwa kina na wao wakipata u Profesa wanaona ni zamu yao ya kukaririsha wengine.
Ndiyo hivi tunakaririshwa kwamba mahitaji ya kila mtu ya maji au chakula ni lazima yawe sawa.
Bila ya kujua kwamba kuna watu inawezekana wanatakiwa wanywe maji yenye pH level fulani tu, au yasiyo nankemikali fulani, au wale chakula kisicho na vitu fulani, au chenye vitu fulani, kwa kulingana na vipimo vya miili yao.
Ukiwa challenge hao ma Profesa Janabi wetu, unaonekana huna adabu.
Ungefanya utafiti wa hayo maji ya Dawasco katika maeneo yote wanayoyahudumia, mimi ninaishi eneo ambalo hatuwezi kutumia koki za chuma kutokana na maji kuwa na chumvi nyingi sana, pia hauwezi kufulia nguo nyeusi kwani zikikauka chumvi inaonekana, si rahisi kunywa maji haya ya visima vya Dawasco.Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba