Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Wabongo wengi kama mtoa mada wametoka katika utamaduni wa ujima na kuzaliwa katika Ujamaa.Dah aisee, Kila mtu mkuu ana maamuzi yake juu ya hela zake na namna yakuishi aina ya maisha ayapendayo.
Siku Moja nilikuwa mahala watu wanakunywa ndani ya ile bucket yao kulikuwa na vinywaji ambavyo kwa hesabu ya haraka ni kama 2mil hivi, huku mimi niko na kinywaji cha 1000 na mfukoni nina change ya 9k.
Nilijisemea tu ya watu hayanihusu, acha niangalia yanayonihusu.
ndani ya viunga ya Basra-Iraq.
Somo la kila mtu kushika hamsini zake ni gumu sana kueleweka kwao.