michu03
Senior Member
- Dec 1, 2018
- 132
- 95
Wakuu, maji yanaweza kuonekana safi lakini bado yakawa na vijidudu hatari kama typhoid, amoeba, E.coli, au kemikali zisizoonekana na madhara ukaja kupata baadae( chronic effect) . Hatuna teknolojia bora na viwango kutibu maji yetu kufaa kwa ajili ya kunywa moja kwa mojaPia, mabomba chakavu yanaweza kuchafua maji hata baada ya kutibiwa. Njia rahisi na salama ni: chemsha maji, tumia filter/purifier tukumbuke kulinda afya zetu kwani afya haina mbadala..