BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,197
- 14,380
Kama kupeleka watoto EMS wakati uwezo wako mdogosikuzote ukiwa na pesa ambazo hazina mipango, lazima utafanya matumizi ya hovyo.
Dogo acha kuaribia watu biashara zaoKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Kaishiwa😂Watakuja kusema huna hela
sikuzote ukiwa na pesa ambazo hazina mipango, lazima utafanya matumizi ya hovyo.
Usipend kuwapangia watu namna ya kuishi, ww kama huchemshi maji endelea na wale wanaochemsha waache wafanye hivyo Kila mtu atapambana na Hali yake Kwa muda wakeKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Mimi mwenyewe nilikunywa sana maji yale ya mto unaimana kwa mdomo hadi mtoni unavuta maji kwenye Barrel la kooni kama Ng'ombe. Lakini kwa sasa Mungu ameniona. Lazima nifurahie matunda.Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Unapata faida gani kuongea kitu cha kuhadaa watu ili hali wewe hufanyi ivo na kuita watu washamba kwa kutumia hela zao na hawajawahi kukuomba uwanunulie maji.Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.