Wabongo wengi kama mtoa mada wametoka katika utamaduni wa ujima na kuzaliwa katika Ujamaa.Dah aisee, Kila mtu mkuu ana maamuzi yake juu ya hela zake na namna yakuishi aina ya maisha ayapendayo.
Siku Moja nilikuwa mahala watu wanakunywa ndani ya ile bucket yao kulikuwa na vinywaji ambavyo kwa hesabu ya haraka ni kama 2mil hivi, huku mimi niko na kinywaji cha 1000 na mfukoni nina change ya 9k.
Nilijisemea tu ya watu hayanihusu, acha niangalia yanayonihusu.
ndani ya viunga ya Basra-Iraq.
Maisha ni ya Mtu we shughulika na kwakoKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Bongo, wengi wanapenda generalize maisha ya watu kana kwamba solutions ni one size fits all ,wakati reality ni very personal and nuanced.Ukija kuomba maji kwangu nakwambia usinywe maji, kunywa bia 😂😂😂
Wabongo wengi kama mtoa mada ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovifahamu.
Unaweza kukuta mtu kasoma mpaka kawa Profesa Janabi halafu anatoa ushauri wa jumlajumla tu kwa watu wote kwa mambo yanayotakiwa kuwa very individualized.
Kama ng'ombe 🤣Mimi mwenyewe nilikunywa sana maji yale ya mto unaimana kwa mdomo hadi mtoni unavuta maji kwenye Barrel la kooni kama Ng'ombe. Lakini kwa sasa Mungu ameniona. Lazima nifurahie matunda.
Unajua jinsi gani kiwandani wanaandaa don't feel safe kwa kunywa maji ya chupa..Maji ya Chupa raha yake unakunywa kwa amani sana hivyo unakunywa mengi.
Yale maji yetu yaliotukuza kuna wakat mpaka uyachunguze uyatafakari sana unless kama yanaandaliwa vyema kabla ya matumizi.
Kwa kijijini ni sawa ila mjini itaonekana mwizi unachora ramani zakoKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Lakini pia ukifikiria sana , tangia ongezeko la utumiaji maji ya chupa, magonjwa kama, amoebiasis, typhoid, shigella, kipindupindu, echoli yamepungua sanaKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Why Profesa Janabi?Ukija kuomba maji kwangu nakwambia usinywe maji, kunywa bia 😂😂😂
Wabongo wengi kama mtoa mada ni mabingwa wa kutoa ushauri ambao hawajaombwa, kwa watu wasiowajua, kuhusu vitu wasivyovifahamu.
Unaweza kukuta mtu kasoma mpaka kawa Profesa Janabi halafu anatoa ushauri wa jumlajumla tu kwa watu wote kwa mambo yanayotakiwa kuwa very individualized.
Profesa Janabi si ndiye huyo anawashauri watu wale kwa namna hii na siyo ile bila hata ya kuweka caveat kwamba ushauri wa jinsi ya kula na kufanya mazoezi unatakiwa kuendana na vipimo vya mtu mmoja mmoja na kuwa individualized na daktari wake.Why Profesa Janabi?
Nahisi huu mfano siyo bahati mbaya!
Unakunywa bia za sh ngapi kwa mwezi?Hapa kwangu tangu ninunue water dispenser imekua tabu! Natamani hata niipasue! Nimegombana na wife ila haelewi.
Imagine kwa mwezi nanunua machupa yale ya lita 18 sio chini ya manne (45,000) halafu bili ya maji yote tunayotumia kuogea, kufua, kudeki, kuoshea vyombo, kupikia n.k. ni 27,000 😐
Hana kweli wenye hela wanakunywa kilimanjaro pure drinking waterWatakuja kusema huna hela
Wameamua waniseme hapa leoHaya kumekucha 🤣
Ongeza sautiHana kweli wenye hela wanakunywa kilimanjaro pure drinking water
Inabidi uanze kunywa maji ya kwenye mto 🤣🤣Wameamua waniseme hapa leo
KamweeInabidi uanze kunywa maji ya kwenye mto 🤣🤣
Si ndiyo umeambiwa uache ulimbukeni 😅Kamwee
Hamna ila ni mipangilio yakosikuzote ukiwa na pesa ambazo hazina mipango, lazima utafanya matumizi ya hovyo.