Huna akiliKama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.
Lakini unakuta mtu nyumbani kwake ananunua maji ya kwenye chupa aisee huo ni ushamba mimi mwenyewe nilikuwa na huo ushamba eti naogopa kunywa maji ya bombani eti nitapata typhoid sasa kuna siku nikafikiria miaka karibia 20 iliyopita nimekunywa maji ya ziwani bila kuchemshwa sijawahi kupata shida ya tumbo toka siku hiyo mi nakunywa maji ya bomba sijawahi sumbuliwa na tumbo zaidi ya kupunguza gharama
Wengi wamekunywa maji ya mtoni na ndio yamewakuza ila wanahofia kunywa maji ya DAWASCO wakati hayo maji yanafanyiwa treatment wakuu acheni ushamba
Bwana bwana huyu BabaMorgan ni hasara tupuWakuu, maji yanaweza kuonekana safi lakini bado yakawa na vijidudu hatari kama typhoid, amoeba, E.coli, au kemikali zisizoonekana na madhara ukaja kupata baadae( chronic effect) . Hatuna teknolojia bora na viwango kutibu maji yetu kufaa kwa ajili ya kunywa moja kwa mojaPia, mabomba chakavu yanaweza kuchafua maji hata baada ya kutibiwa. Njia rahisi na salama ni: chemsha maji, tumia filter/purifier tukumbuke kulinda afya zetu kwani afya haina mbadala..
Inakuwaje unawapangia matumizi aiseee? Hali mambo yako bothiiii!Kama upo town kwenye harakati ni sawa kununua maji ya kunywa ya chupa sababu hakuna makazi ya watu ambapo unaweza kuomba maji ya kunywa.