Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

Ile ya mbowe noma. Kaigharimisha serikali mabilioni kwa siku chache tu.
Ahaaa ndio uanaume huo,ujue kwenye msiba wa Alli Kibao watu walimuona amekuwa soft soft sana kwa speech yake msibani.
Mwanaume lazima uwe active
 
Wengine hawapiti selo lakini changamoto za kiafya ni zaidi ya selo mamaaehhh
 
MBONA MAKADA WA CCM KILA SIKU TUNAINGIA LUPANGO. MHIMU NI KUTII SHERIA ZA NCHI. ACHENI KUFANYA KAMA KUNA UPANDE UNA UPENDELEO . ILA USISAHAU KUWA MAMA SAMIA NI MITANO TENA .
Kada yupi yuko lupango au segerea
 
Ndio unavyojidanganya! Ni sawa na wale jamaa zangu wa Musoma eti bila kovu sio mwanaume!?
Wana sababu,sasa uchunge mufugo ya familia tangu ukiwa darasa la pili huko porini ukose kovu kweli
 
Binafsi nina umri nusu na zaidi katika huo wa kustaafu na sijawahi lala selo.🀣
Nadhani ni discpline tu katika maisha ndio inasaidia.
 
Back in 2000's wakati Mbolea za ruzuku kipindi cha JK, Hahahaha waliniweka ndani wale wajinga na kulifikisha mahakamani. Pamoja na kuhinga kamati ya usalama Wilaya ila yule DSO pamoja kumpa 4M tena nilimpelekea manoti ya 2000 lakini alikataa kwani alitishiwa na Aesh kuhusu Pinda na mchakato wa Urais 2010's.

Nikapelekwa mahakamani na wale wajinga wakanihukumu miaka 3 jela au faini ya 20M. Nililipa faini kwani nilipiga pesa nyingi.

Yule Aeshi mbunge wa Sumbawanga ni bwege sana alinichomeka baada ya kumgeuka na wale waha waliokuwa ndugu na yule Waziri wa Kilimo Chiza kipindi hiko.

Sasa naenda kustaafuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ ila.kama mtumishi wa serikali hujapiga pesa kipindi kile, labda udabue sasa kwa bi. Tozo.
 
Binafsi nina umri nusu na zaidi katika huo wa kustaafu na sijawahi lala selo.🀣
Nadhani ni discpline tu katika maisha ndio inasaidia.
Sema selo nayo tamuu unakutana na ndume zina ugwaduuu, kwa sisi mabwabwa tunaenjoy sana kupapaswa makalio.
 
Watanzania kwenu kuwa mwanaume huwa ni sifa za ajabu ajabu. eti kulala polisi, kula ugali saan na maharage, kutumia nguvu kuliko akili, yani sifa za ajabu ajabu ndizo kwa mtanzania zinakuwa sifa za kuwa mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…