Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

Ukifikisha umri wa kustaafu(miaka 60) na hujawahi kulala selo au kuitwa polisi kwa mahojiano wewe sio mpambanaji

Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.

Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana,huna cha kusimulia wajukuu.

Naingea na wapambanaji

Wapambanaji wengi wameshalala lupango au kuhojiwa polisi,hii ni duniani kote.

Hapa siongelei kufungwa gerezani hiyo ni advanced sana.

Kuna mwamba alienda kwa mchepuko akapewa show mpaka saa nane usiku,kurudi nyumbani ikawa shida,akamfuata afande mmoja ni rafiki yake,wakamsweka ndani,mkewe akapigiwa simu kuwa njoo polisi mumeo amegonga mtu na gari,mke kaja na chupa ya chai na mazagazaga kumuwekea dhamana mumewe,Bila kujua kuwa alijipeleka lupango.ili litimie neno

Huo ndio uanaume,wote mkiwa kondoo serikali haitatoa ajira kwa jeshila polisi,kikubwa usifanye matukio mazito ya kukufunga gerezani.

Si mliona juzi polisi walivyoandamanishwa kwa kauli ya mwanaume mmoja tu,huo ndio uanaume.

Sitetei kuvunja sheria ila mwanaume hutakuwi kuwa kama kondoo.

Kuna watu watasema sifa za kijinga ila miaka 60 ni mingi sana kukwepa mkono wa sheria kwa mpambanaji
WaTz wengi wetu ni raia wema kabisa kabisa tunatusua kabisaa.
 
Back in 2000's wakati Mbolea za ruzuku kipindi cha JK, Hahahaha waliniweka ndani wale wajinga na kulifikisha mahakamani. Pamoja na kuhinga kamati ya usalama Wilaya ila yule DSO pamoja kumpa 4M tena nilimpelekea manoti ya 2000 lakini alikataa kwani alitishiwa na Aesh kuhusu Pinda na mchakato wa Urais 2010's.

Nikapelekwa mahakamani na wale wajinga wakanihukumu miaka 3 jela au faini ya 20M. Nililipa faini kwani nilipiga pesa nyingi.

Yule Aeshi mbunge wa Sumbawanga ni bwege sana alinichomeka baada ya kumgeuka na wale waha waliokuwa ndugu na yule Waziri wa Kilimo Chiza kipindi hiko.

Sasa naenda kustaafu😀😀😀😀 ila.kama mtumishi wa serikali hujapiga pesa kipindi kile, labda udabue sasa kwa bi. Tozo.
Pole sana mkuu
 
Nkikumbuka aya mambo Stakishari pale ,,dah 2019 iyo novemba ,,wazee wa vipasta,,,dahh ..ila jela kwel ni advanced ..naomba Mungu
 
Huu uzi ni kwa ajiri ya wapambanaji na sio wapambaniwaji

Wapambanaji wako naexperience ya mamb meng sana kuliko wapambaniwaji.

Ova.
 
Ukiondoa chawa, high profile leaders, watumishi wa vyombo vya ulinzi na usalama, makada wa CCM na watoto wa mama.

Waliobaki kama ukifikisha umri wa kustaafu miaka 60,uwe umejiajiri au umeajiriwa na katika harakati zako za upambanaji hujawahi kulala kupango au kuitwa polisi kwa mahojiano,wewe bado sana,huna cha kusimulia wajukuu.

Naingea na wapambanaji

Wapambanaji wengi wameshalala lupango au kuhojiwa polisi,hii ni duniani kote.

Hapa siongelei kufungwa gerezani hiyo ni advanced sana.

Kuna mwamba alienda kwa mchepuko akapewa show mpaka saa nane usiku,kurudi nyumbani ikawa shida,akamfuata afande mmoja ni rafiki yake,wakamsweka ndani,mkewe akapigiwa simu kuwa njoo polisi mumeo amegonga mtu na gari,mke kaja na chupa ya chai na mazagazaga kumuwekea dhamana mumewe,Bila kujua kuwa alijipeleka lupango.ili litimie neno

Huo ndio uanaume,wote mkiwa kondoo serikali haitatoa ajira kwa jeshila polisi,kikubwa usifanye matukio mazito ya kukufunga gerezani.

Si mliona juzi polisi walivyoandamanishwa kwa kauli ya mwanaume mmoja tu,huo ndio uanaume.

Sitetei kuvunja sheria ila mwanaume hutakuwi kuwa kama kondoo.

Sio lazima uwe criminal,unaweza kuta mkeo akakujib shit ukamzabua makofi kwa hasira tayari selo

Au barabarani mtu akakuchomekea ukamzingua tayari kesi.

Umepiga dili ba mtu akakudhulumu tayari kesi.

Mambo ni mengi

Boss wa JF angekuwa mtoto wa mama angewakaanga wengi kwenye ile kesi yake ila kwa vile ni mpambanaji alilala au kuhojiwa polisi na mahakama ndio ilimuachia,huo ndio uanaume

Kuna watu watasema sifa za kijinga ila miaka 60 ni mingi sana kukwepa mkono wa sheria kwa mpambanaji
Khe! Makubwa haya. Yaani uache kuitwa TRA huko kuwa labda umekwepa kodi ndio uitwe polisi kufanya nini sasa?
 
Uanaumee kazi, bora wengine wanaleft, wamechoka hizo heka heka, Lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Akina MOND au sio ila nao ni ujasir imagine mjulusi unaingia na kutoka dah

#Mashoga wauwawe.
 
Back
Top Bottom