OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kwangu inaweza kuwa ndio nitolee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 90.Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi
acheni kujihesabia dhambi, miaka 50 kuna dhambi gani hapo? Hakuna uzinzi hapo mzee hata ale wengi haihesabiki kuwa ni uzinzi. Wanaofanya uzinzi ni vijana wenye wake huku wananyandua nje ya ndoaUisilamu umeweka wazi kabisa,mwanamme akifiwa na mke wake anaweza kuowa mda wowote ule,hii ni sababu amri ya kuzini imechukuliwa kwa uzito mkubwa,hebu jiulize huyo wa 50s ambaye hana mpango wa kuowa hazini?
Ulimfumania?Miezi 6 hasa hasa kama una watoto ni vizuri ukawashirikisha
mimi niliachana na mke wangu toka Dec 2022 na sijataka kuoa mpaka sasa,
inategemeana na jinsi issue imekuathiri kisaikolojia.. Kuna wengine wanaona kama wametua mzigo mkubwa sana hivyo huoa fasta
Maisha ni fraha, fanya kinacho kupa fraha. Kuna watu wana hela lkn hawana fraha. Ukishakuwa tajiri halafu ni nini kinafata?Ndio maana waislam wengi ni maskini kuendekeza K. Mtu uko over 50 watoto wakubwa unaoa kutafuta nini. Waislam wanapenda kuoaoa hovyo. Juma Kapuya ameoa mjukuu wake, na sahv mnataka kuoa vitoto vya miaka 9. Kwa uislam mwanamke ni chombo cha kumstarehesha mwanaume siyo binadamu. Yalivyo majinga yatakuambia maagizo ya mnyaanzi Mungu. Ujinga ni gunia la misumari
Kuna logic hapo naungana naoKuna jamaa yangu ni muha wa buhigwe kigoma, alifiwa na mke wake, akachukua miaka mitatu bila kuo tena huku kaachiwa watoto wanne. Kisa cha kuchelewa sana kuoa ni kwamba kwa mujibu wa mila na desturi zao huwa hawaoi haraka wakifiwa. Wakioa haraka itaonekana hawakuwapenda wake zao waliokufa ndio maana wanaoa haraka. Wakichelewa kuoa hueleweka waliwapenda sana hao wake zao waliofariki dunia
Kumbe miaka 50 ni mzee??, huo ni umri wa Nape,makamba ,mwigulu Na zitto Kabwe,hao ni vijana bana na watoto wao bado wadogo banaKuna wazee wengine hawakuzoea kuishi peke yao bila mke, wanataka shoo shoo tu, na wengine hutaka kupata watoto wa uzeeni. Sasa kama una miaka 50 na 60 unaoa nini wakati una watoto wakubwa? Hapo ni kuishi peke yako tu maadamu una afya njema na huna changamoto ya maradhi ya uzeeni. Ukitaka shoo kama mwili bado una nguvu za kunyandua wapo wazee saizi yako utapata wa shoo tu, hakuna uzinzi hapo
Yeah, kitu juu ya kitu.Backup muhimu
Na aliekufa.Inategemea na mfiwa mwenyewe.
Kifo hubatilisha ndoa. Anayebaki ni uamzi wake, kuoa au kutokuoa.Kuna mzee wa kanisa mmoja alifiwa na mke hakymaliza miezi miwili akatangaza ndoa mpya kanisani na kuoa fasta.
Kuna mwamba mmoja hata mwezi haukukatika akavuta kitu,ila watoto wa marehemu walimtimua kwenye ile nyumba ya familia,walimpa sharti baba yao kuwaamjengee au anpangishie nyumba ,asimlete pale.
Huyu mwingine anamiaka saba sasa yuko mgane na yuko kwenye 50s hana mpango wa kuoa kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake,bado anaomboleza
Muda sahihi ni upi