Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Mimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio.

Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
Acha kutembea na waume za watu kwa hoja za kijinga..kama unapenda mgegedo olewa na wewe..na kama unahongwa fanya kazi tafuta hela zako
 
Tatizo wanawake mnajisahau...na ufeminist wenu ndio maana tunaenda kwa michepuko sababu kule ni raha,unaoga,unakula msosi balance diet na unamla na mpishi!!
 
Wanawake wajinga huhangaika na michepuko badala ya ku deal na waume zao, Sasa na wee mke ka ulitongozwa na meenzako naye katongozwa na ana k ka wewe.
Hafu wanawake wengine hawajiamini hata ukipendeza ukapita akiwa na mumewe, mumewe akikuangalia ana kuchukia huo si ujinga, dah Mimi mwanaume nilimuelewa napita naye kule upige simu au lah.
Ndiwooooo dear C, navokupenda hapo tyuuh.
 
Back
Top Bottom