Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ligi nzito 🤣Hayo maumivu peleka kwa mumeo sio kwa mchepuko
Acha kutembea na waume za watu kwa hoja za kijinga..kama unapenda mgegedo olewa na wewe..na kama unahongwa fanya kazi tafuta hela zakoMimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio.
Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
Masingle mom ndiyo Wana tabia hizo. Wanagombea waume za watu. Tabu sanaMnajua maumivu ya kumuona mume anachepuka au mnaropoka tu,
Aliyekuzaa vile ni single mother unadhani wote eeehLisingo maza hili
[emoji28][emoji28][emoji28] hafu nimepamiss kweliUsifanye hivyo ujue...ntakurudisha Kmdolu[emoji1787]
Kama nakupata hiviMichepuko waheshimiwe,
Wanadumisha ndoa nyingi sn[emoji4][emoji1431]
Eeh[emoji849] Jesus, Sisi wanaume tunataka Papuchi tu na Pesa uko Makazin kwetu basi.Mume anataka maneno mazuri akirudi toka kazini sio makelele
Na umesema mwanaume hatak makelele ilikuaje ukaibiwa ikiwa unayajua hayo? Sisi wala kelele hazitushtui sisi tunatka.... tuuuu.Mh mara tatu ila nilikaa kimya nika mpa igizo moja tu
Naomba mimi niwe wa kwanza, njoo tembea na mimi tu dadaS
ijawai tembea na mume wa mtu labda wewe utakuwa wakwaza
Ni ukweli ambao wengi hawataki kuusikia[emoji4]Kama nakupata hivi
Kimeumana 😀Tayari
Balaaa😂😂Kimeumana 😀
Ndiwooooo dear C, navokupenda hapo tyuuh.Wanawake wajinga huhangaika na michepuko badala ya ku deal na waume zao, Sasa na wee mke ka ulitongozwa na meenzako naye katongozwa na ana k ka wewe.
Hafu wanawake wengine hawajiamini hata ukipendeza ukapita akiwa na mumewe, mumewe akikuangalia ana kuchukia huo si ujinga, dah Mimi mwanaume nilimuelewa napita naye kule upige simu au lah.