Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Nani anajali Dharau za mwanamke??

Huyo Kwanza anakosea kujibishana na wewe.

Wanawake wanadharau au wanavioja??
Ungekuwa haujali dharau za mwanamke usingejibu hiki kiroja chako,, kabla hujashangaa wengine jishangae wewe kwanza
 
Andiko la kibabe balaa
 
Yani Mwanaume umkosee pakubwa mkeo, mfano imetokea umezaa nje ya ndoa na mchepuko ambao bado unauaeka mjini kama mkeo wa pili , ikatokea mkeo akajua akafadhaika sana akaona isiwe tabu bora aondoke akupe Uhuru wa kuishi na mchepuko wako ulozaa nao yeye akaanze maisha yake wewe hapo utafanye @ Mleta mada?

Mbaya zaidi unajikuta Mwanaume unapojamiana na mkeo nguvu unakuwa huna mfano sababu unatumika sana kwa mchepuko au mchepuko kakuroga kwamba ukikutana na mkeo uwe hanithi mkeo akagundua kwamba kumbe ukiwa nje mpaka umezaa lakini ndani hujiwezi hapo mkeo akiondoka utafanye?

Unafahamu Imeandikwa:Mungu anachukia kuachana?

Je kuachana huko kumeanzishwa na nani?

Tafakari.
 
Yani umpige matukio ya kufa mtu mkeo mfano kuzaa nje ya ndoa Kwa mwanamke ambae alishakustukia na kukuonya naye kwa miaka halafu mwisho wa siku unazaa naye mke akiondoka utasema kaondoka mwenyewe?

Akufukuzae hakwambii toka.

Mwanamke akishapigwa matukio inabidi ajiongeze Mwenyewe kuwa hapa penzi tena limeshaisha bora kuondoka kutafuta amani yake ya moyo na furaha.
 
Kua mwanaume,
mwanaume hayumbishwi mkuu.

Demokrasia waachie chadema&CCM.
 
Ndoa zina mambo mengi sana ya ajabu na tofauti kwa nyakati tofauti.

Circumstances na facts zipo tofauti tofauti.

Marriage couples are always unique you can not judge the same.

Hivyo hakunaga jibu la aina moja kama uloandika wewe Mleta mada.
 
Na mwanamke akishapata kijihela

Kazi nzuri mshahara nzuri,uchumi kwake mzuri

Mwanaume hesabu maumivu

Na ukishamuwezesha mwanamke imekula kwako

Ova
Mwanamke anapaswa akutegemee wewe, asiwe na boss mwingine.

Mwanaume ukifeli hapo, Umekwisha
 
Habari ndiyo hiyo

Mkiondoka hiyo ndiyo 1 way ticket

Ova
Kwani unaishi na wake wangapi hapo kwako. Mzungumzie huyo ulie nae.,maana huna ubavu wa kuwaamulia wengine
Kunywa soda nakuja kulipa,anafikiri wote mazoba km huyo anayemfuga apo nyumbani kwakwe
Kuna watu wana mentality ya kimasikini yaani.
 
Ndoa zina mambo mengi sana ya ajabu na tofauti kwa nyakati tofauti.

Circumstances na facts zipo tofauti tofauti.

Marriage couples are always unique you can not judge the same.

Hivyo hakunaga jibu la aina moja kama uloandika wewe Mleta mada.
Asante kaka
 
Iwapo Mwanaume ndiye aliyemkosea pakubwa mkewe kiasi cha kusababisha mke kuondoka na yule mke akaendelea kumlilia Mungu kwa hiyana na uovu ulomtendea mke wa ujana wako ujue laana haitakuacha.

Mbona tumekuwa tukiona kwenye jamii hali halisi ?!

Msijidanganye.

Mungu anachukia kuachana Kwa hiyo panapotokea kuachana huenda mbali kwa kuangalia aliyesababisha kuachana kwa hawa wanandoa ni nani?

Na mara nyingi ni Mwanaume na ule mchepuko wake .

Laana !

Usizani ni rahisi kiasi hicho.

Labda kama dhamira yako imeshakufa ndani yako lakini Hata hivyo laana huwezi iepuka.
 
Laana hyo vipiiii
 
You are blessed. Wengine wanajitutumua tu hapa, ila kwa grounds mambo ni tofauti kabisa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…