Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hamnaga laana ya mwanamke inaweza mpata mwanaume.
Awaap nipo single nataka kumpa talakaUlisema alirudi eeeh? Unateleza tu sahivi baba j😁
Haya baba J kamata mtoto mzuri mwenye wezere maisha yaendelee....Awaap nipo single nataka kumpa talaka
Hii ikolezewe wino tena wino wa dhahabu.....afu iweke apo juu iwe ndo iwe kichwa cha habari.pasipo akili heshima ya mwanaume ipo mashakani.
Tafuta mwanamke mwingine.Je mke yupo kwangu tunaishi ingawa viugomvi vidogo vidogo haviishi ndani ya nyumba ila baba mkwe akamwambia mtoto wake qmbae ni mke wangu aondoke kwangu na mke wangu akagoma baba mkwe akamtamkia mtoto kua usipokuja huku kwangu kuanzia leo ukamtafute baba ako nilivyoona hivyo kwa busara nikamwambia mke wangu yule ni mzazi nakupa ruhusa nenda kamuona baba ako kisha urudi ila alipofika akamzuia asirudi kwangu na watoto alienda nao na cha kushangaza akaenda bakwata akawapa hela na kumshinikiza mke wangu adai talaka na bakwata wakampa talaka hapo unalizungumziaje suala hilo mkuu!?
Mana kinachoniuma ni kunuacha mwanamke ambae ananipenda kwa dhati bora angekua hanipendi ningemuacha kiroho safi
Tafuta mwanamke mwingine.
Huyo uliyenaye, anateseka kweliMali unazo wewe wenzio hawana. Na wanawake wengi siku hizi wana mali zao kasoro huyo wa kwako
Kama yupo kwako ishi naye, ila akiondoka achana naye kama ni huko kwao wanataka kumwoa mwanao wamwoe.Ametoka kwao amechukua watoto amekuja kwangu nifanyaje!?