Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #121
Mlivyo hamziwezi nyeeege, mnatufata vizuri, mnabembeleza na magoti mnapiga.
Heshima ya Mwanaume mwaijua Ni uchumi na uguvu za kiume . Ya kwenu Ni yapi?Nyie hamuhusiki wanaohusika Ni hao wavulana waliokaa kwenye ubaraza kujadili wanawake wanasahau heshima ya mwanaume ipo katika jasho lake (uchumi) na nguvu za kiume,, halafu mwanaume si mtu wa maneno meengi Ni vitendo tu, kiufupi hawa Ni wanawake wenzetu wenye mbupu tu
Nadhani umesahau kama sisi ni polygamist in natureMlivyo hamziwezi nyeeege, mnatufata vizuri, mnabembeleza na magoti mnapiga.
Swali la kipuuzi kweli, kuweni wanaume Basi hata kwa sekunde,, ukianza kuuliza maswali ya kijinga km haya kwa mwanamke atakudharau tu km Mimi nilivyokudharauπHeshima ya Mwanaume mwaijua Ni uchumi na uguvu za kiume . Ya kwenu Ni yapi?
Umeandika madini kabsa, Naunga mkono hoja
Swali la kipuuzi kweli, kuweni wanaume Basi hata kwa sekunde,, ukianza kuuliza maswali ya kijinga km haya kwa mwanamke atakudharau tu km Mimi nilivyokudharauπ
Nani awafwate labda huyo juha wako uliye mshika masikioTunafatwa kila siku na wataendelea kutufa. Pambav zao
Heshima ya Mwanaume mwaijua Ni uchumi na uguvu za kiume . Ya kwenu Ni yapi?
Hili swali umegonga penyewe mkuuHeshima ya Mwanaume mwaijua Ni uchumi na uguvu za kiume . Ya kwenu Ni yapi?
Ndio hao dhaifu mliowarogaHata uwe nao Saba, kuna sehemu mzani utaegemea...huyo ukisikia kaondoka lazima utaenda kupiga magoti.
Kweli kabisa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Katika maujingajinga unayoandikaga, leo ndo nimekuelewa mkuu. Kwa kuongezea tu ni kuwa akiondoka siku anarudi anakuta mwenzie
Baba j ni mimi huyu unaniambia hivo?? Majeraha ya mapenzi yameanza kupona eeh umeanza kejeli
Sio ivo best nimemaanisha wengineπππBaba j ni mimi huyu unaniambia hivo?? Majeraha ya mapenzi yameanza kupona eeh umeanza kejeli πππ
Ukiwa zuzu fala lazima ndoa na familia iwe poa sana.wanaume kuwa zuzu kuna faida yake et wakuuMkuu samahani kwa heshima kabisa nikuambie kuwa uliyoandika ni fasihi andishi. Mtu anaitwa Mke ni habari nyingine tofauti kabisa.
Mwanaume atakayefuata wazo lako kuna mambo matatu yatampata:
1. Sonona
2. Aibu
3. Kudharaulika hata akifariki
Kweli kuishi na mke kunahitaji akili na busara, ila sio ubabe. Nitakuonesha jambo lakujifunza.
Tuseme mfano Magu ni baba sisi ni watoto na Samia ndio alikuwa mama yetu. Kwa mambo yalivyo sasa hali ya familia na historia ya baba yetu ipoje?
Hii dhana yako ndio ile ile ya marehemu baba yetu Magu. Na ukweli mchungu hii dhana haifai kuongozea familia.
Utashangaa wale wanaowacheka na kuwaita wanaume wenzio dhaifu ndoa na familia zao zinateketea alafu wale wanaoitwa dhaifu ndoa na familia zao zinastawi.
Ni hayo tu Mkuu.