Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,456
Hahah mashangazi wanakomaa ,mzee unaendelea kutafuta mbususu.Ndugu zake wakiongozwa na mashangazi zake ndio walikomaa hakuna kutoka mpaka nimfuate. Mimi nikakataa.
Achana na wamama wa kichaga, ila wale wachaga wahatanisahau.
Ila huwezi amini tukaja tukawa marafiki kiasi kwangu kwenye sherehe zao wananiweka kwenye kamati
[emoji3][emoji3][emoji3]Bora uwaambie waache ukolo na umama [emoji16]
Hawajiamini sababu wanajua wamekimbia majukumu yao! Ukimuachia mke majukumu yako kubali kumuachia na nafasi yako pia!Ni Kwa sababu wanaume wengi sasa hivi hawajiamini.
Ila Kwa watu Kama Mimi huo sio mkwara ndio uhalisia wenyewe. Bahati nzuri jina ni halisi na Profile picha ni yangu
Wewee Sio mkweli.haya Sio machache Mkuu[emoji1],Duuh.MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Hao wanaume wa kupiga magoti mnawatoaga wapi?; Au ndio wale wanaofanyaga sherehe za birthday [emoji3][emoji3]Hata uwe nao Saba, kuna sehemu mzani utaegemea...huyo ukisikia kaondoka lazima utaenda kupiga magoti.
Aliyeulizwa amejibu matusi tu[emoji3][emoji3][emoji3]Hili swali umegonga penyewe mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Leo nimekuelewaMKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE
Anaandika Robert Heriel.
Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule. Nazungumza mambo ambayo ni kweli kabisa.
Wewe si bingwa WA kufinyia Kwa ndani.......Nani aanze kukuacha😂😂😂😂😂Tunafatwa kila siku na wataendelea kutufa. Pambav zao
Sasa kama nishakula tatizo Nini,si sense tunakamatia mwingineBora umeonyesha mnahangaishwa sana na Wanawake.. na bado..akili za wanawake kwenye mahusiano kamwe hamuwezi kuwazidi..na fahamu mwanamke akiondoka jijue umechokwaaaaaaaa...
Kakosa jibu.[emoji1787][emoji1787]Aliyeulizwa amejibu matusi tu[emoji3][emoji3][emoji3]
Mojawapo ya comment nguli sana..Kutua Kwa moyo ni Dalili ya utoto na kushindwa kujizuia
Aisee Shirima tusikae kifala..Uzi Safi kabisa kwa wanaume tu.
Kuna mmoja alileta ufara na dharau Tena kwenye nyumba ya Kupanga sikutaka maneno Mengi Nilifanya maamuzi magum na sijawahi kujutia saa hvi anaisoma namba.