Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

Positive mind always wins
 
Hakika mkuu, mapenzi ni utii wekeni pembeni mabishano na mifarakano, utajiona ni wa bahati sana, mapungufu hayakosekani kwenye mahusiano maana wote hamjakamilika ila we mpende tu utambadilisha vile unavyotaka
 
Hii inafanya kazi ndoa changa na uchumba mpya.
kotekote kamanda ukiingundua na kuipata ilipo mapema basi utaanza kuinjoy mapema@alubati

ukichelewa kuibani mapema ndio yale ya kujisemea moyoni tena,
dah kwanini sikujua au hatukujuana mapema,
kwanini sikugundua hiki mapema nimechelewa kuanza kuinjoy
 
Huwa unaandika vitu vya msingi sana Mkuu.

Ulichosema hapo, ndivyo nilivyo mimi na mwenzi wangu.
Je, ndio tumeshaijua ladha yetu ya kiroho na kimwili?


Ukitaka kujua hilo angalia je mmefikia malengo mnayojiwekea kiuchumi yani pesa huwa hazikauki kwenye ndoa ya namna hii mtafanya mengi ya mafanikio si hakuna mifarakano maana shetani hatapata nafasi , kiroho kwenye penzi la kweli mnachipua sana kiroho na Mungu atawapa vibali machoni mwa watu na ulinzi, je mmekua msaada kwenye jamii kusaidia kwa pamoja watu wenye uhitaji maalumu,

Basi hayo ndiyo mahusiano mazuri
 
Sasa na yeye aigundue na ladha yako, we unagundua yake lakini mwenzio walaa hajali ladha yako . Hapo ni kazi bure na mara nyingi mahusiano mengi na ndoa nyingi huwa hivi
 
Sasa na yeye aigundue na ladha yako, we unagundua yake lakini mwenzio walaa hajali ladha yako . Hapo ni kazi bure na mara nyingi mahusiano mengi na ndoa nyingi huwa hivi
Mathalani wewe umebaini ladha yake very good, Lakini mwenzi wako unahisi bado hajabaini yako.

Cha kufanya, ni wewe sasa uliobaini ladha yake mapema, kuwa sababu ya mwenzi wako nae kubaini ladha yako, unaweza kuanza ya kiroho then ya kimwili and vaisivesa is true na akafanikiwa kubaini ladha yako.

Na ikiwa kabaini tayari na kwahivyo kila moja amejua ladha ya mwenzake, the 🔥 and chemistry of love amongs you, erupt massively. lake linakua lako, lako linakua lake in everything you are doing....
 
Asante mkuu,umenena vyema sana
 
Hiyo ladha ya K kiroho ndo ikoje[emoji848]
Mnato,joto na maji maji Sana au vipi[emoji848]
 
Rohoni ndio kivp na kukoje
Mathalani kukiri kukosea, kujutia makosa kwa uwazi na ukweli, kuomba msamaha au kutoa msamaha wa kweli na kusahau n.k

ukijua ladha ya mwenzi wako kiroho huwezi kushupaza shingo dhidi ya haya kwa uchache.

Hakunaga ile nimekusamehe Lakini sintosakusahau
 
Apo ndio rohoni mkuu
 
Bado ni propaganda tuu!!cha msingi ni kuheshimu,,kuzitambua na kuwa tayari kupambana Nyakati mbalimbali zipitazo kila siku katika maisha yetu ya kila siku ziwe ni Nyakati za huzuni,,furaha,,kilio,,kicheko,,magonjwa,,uzima nk nk!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…