Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #41
Yes,Apo ndio rohoni mkuu
Ni kwa uchache sana.
Ya kiroho ni mengi mno. Bila kujali ni wa kanisani au msikitini mkijuana ladha kiroho mnaombea sana Kheri, maombi yenu kwa Mungu yanakua mamoja mathalani mnataka mtoto au watoto kadiri ya maombi yenu basi mnasikilizwa haraka na kutimiziwa kwa wakati wa Mungu.
Mnakua si wepesi wa hasira bali Mungu anawajalia Rehema wakati wote