GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini.

Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.
 
Kwa uchaguzi upi?
Tanzania kuna uchaguzi ?
Wapinzani wa kweli mmewabambikia kesi za uongo wapo jela sasa mnakuja na uchaguzi wa magumashi uchaguzi wa maigizo
 
Niliona jana clip za malori wanasomba watu na wewe ulikuwemo kwenye ule msafara mjinga wao?
 
Igoma yamepita malori na mabasi zaid ya 50..yote yamejaa watu wa mara huko
 
Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini.

Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.

Kuna watu ni rahisi sana kudanganyika.

Hivi umejiuliza ni kwa nini kampeni zimefanyika asubuhi .....!!? Miaka yote kampeni zilikuwa zinafungwa jioni.

Jibu: Watu wamesombwa toka kila kona hivyo inabidi warudishwe ili wawahi kwenye vituo vyao.
 
Back
Top Bottom