baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Humu ndani kila mtu wanawaza mbaya mtekaji mimi naongoza kupiga utekaji humu ndani anataka kukuja ofuAje apo sijakupata??
Humu ndani kila mtu wanawaza mbaya mtekaji mimi naongoza kupiga utekaji humu ndani anataka kukuja ofuAje apo sijakupata??
Humu ndani kila mtu wanawaza mbaya mtekaji mimi naongoza kupiga utekaji humu ndani anataka kukuja ofu
Hmm mambo ni mengi sasa hivi!
Punguza uogaHmm mambo ni mengi sasa hivi!
CHADEMA haibebi watu kama mifugo.Ulitaka watu wabebwe na fisi?
Kuna shoda gani wafuasi kwenda kujionea hitimisho la kampeni na kurejea nyumbani mapema?Kuna watu ni rahisi sana kudanganyika.
Hivi umejiuliza ni kwa nini kampeni zimefanyika asubuhi .....!!? Miaka yote kampeni zilikuwa zinafungwa jioni.
Jibu: Watu wamesombwa toka kila kona hivyo inabidi warudishwe ili wawahi kwenye vituo vyao.
Kuna shoda gani wafuasi kwenda kujionea hitimisho la kampeni na kurejea nyumbani mapema?
Ni mara ngapi mnawasomba wafuasi wa chadema kutoka Arusha kuja kwenye kesi za lissu?
hivi anashindana na nani vile? kama sio kivuli chake mwenyewe!Mwanza imejitokeza kumpokea mgombea Urais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni nembo ya kukubalika nchini.
Wapinzani wengi wa Samia walipambana kuitenganisha Kanda ya ziwa na Samia lakini imekuwa tofauti na kila la kheri kesho asubuhi na mapema kazi itakuwa imeisha.