GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mi nipo apa malori kama
Yote aibu kubwa hii😂 yaani wenye mji wala hawajigusi wa vijijini malori kama 20+
Huyu mama hana hata aibu.

Kakataliwa chamani hadi kwa wananchi.

Nguvu kubwa anayotumia na vikwazo vya kiuchumi vitakavyokuja hali ya watu itakuwa tete.

Anaweza kudhani atazima maandamano ya siku moja ila kama ni miaka mitano ataenda hali yake itakuwa tete.
 
 

Attachments

  • 50CD9EF0-4A6E-4BC7-A632-298D63E640BD.png
    2.6 MB · Views: 16
Jana ilifanyika kazi kubwa sana ya kusomba ng'ombe kujaza uwanja, wanafunzi nao hawakua haba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…