GE2025 Ukiiona Mwanza imekubali ujue ushindi unakuja. Hongera Rais Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mkuu kuisema mwanza unatuonea sisi wana mwanza, watu wameletwa kutoka, shinyanga, bariadi, ukerewe, musoma, bunda,geita, katoro, ngara, biharamulo,chato, nzega, tabora mpaka dodomo kwa ajiri ya kampeni tu. pia note this mwanza is loading
 
Kuna watu ni rahisi sana kudanganyika.

Hivi umejiuliza ni kwa nini kampeni zimefanyika asubuhi .....!!? Miaka yote kampeni zilikuwa zinafungwa jioni.

Jibu: Watu wamesombwa toka kila kona hivyo inabidi warudishwe ili wawahi kwenye vituo vyao.
Kuna shoda gani wafuasi kwenda kujionea hitimisho la kampeni na kurejea nyumbani mapema?
Ni mara ngapi mnawasomba wafuasi wa chadema kutoka Arusha kuja kwenye kesi za lissu?
 
Mafuso, malori, tren, mv mwanza vyote vimesomba watu kutoka tabora na bukoba

Aibu kabisa
Unadhani wakazi wa Mwanza wanakaa mwanza peke yake?
Ile ni EAC commercial hub watu wanaingia na kutoka
 
Kuna shoda gani wafuasi kwenda kujionea hitimisho la kampeni na kurejea nyumbani mapema?
Ni mara ngapi mnawasomba wafuasi wa chadema kutoka Arusha kuja kwenye kesi za lissu?

Hapa ni sawa na kucompare maji na mafuta. Oil will always come on top.
 
Watu wanapenda kushadadia mpaka vinavyoonekana kwa macho ya nyama😳 mama mmoja kasagwa na treni lililobeba hao nyumbu kupelekwa uwanjani😢
 
hivi anashindana na nani vile? kama sio kivuli chake mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…