Ukiishi na mwenza unayempenda mnaishi kama Watoto

Pesa sabuni ya roho
 
Je, haya mapenzi matamu yanadumu muda gani? Je, watoto mkiwapata watacheza na nani?
 
'Watoto hawazuii wanandoa kupendana Bali yanaongeza mashamshamu.

Watoto mnawawekea muda wao
Kwenye topic inaonyesha ni hao wawili tu. Hakuna nyongeza ya 'ikiwa tukipata watoto tutawahusisha hivi na hivi'. Ndo maana yangu.
 

Mwanamke anajisikia Raha akikusimulia Umbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…