Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh mayooo
Nakhene Ròro...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eeh mayooo
Nmtulia nasubiri wakizazi changu.Wapo kulee ila sio wa kizazi chako, kaa utulie
Binti KimosoKwema Wakuu!
Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu!
Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki.
Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na kucheka.
Mnaheshimiana, bila kuogopana, mnakuwa marafiki wa kweli, zaidi ya ndugu.
Hakuna kuviziana na kunyonyana. Mnapiga Umbeya mpaka unawaishia mnaanza kucheza Games, mkichoka mnaenda kuzurura huku na huko na kigari chenu au kama hamna Gari mnapanda Daladala.
Watu wanaopendana hawawezi kuukimbia Umbeya.
Usije msema Mke au mume WA mtu aliyekwenye mahusiano yenye mapenzi ya dhati mbele ya mmoja wao, Umbeya utamfikia huyo unayemsema.
Mapenzi yananguvu kuliko Mauti wahenga walisema, Ogopa watu wanaopendana Kwa dhati yote hao kuwavuruga haiwezekani.
Mapenzi matamu hasa ukimpata mtu sahihi mnayependana.
Wasalamu
We si umenikataa!?Hao wanaopenda kwelikweli wanapatikana wapi ?
Umeizungumzia ndoa yangu mkuu, shukran sana since 2006 hadi Leo na five children naona kama jana tu AlhamdulillahKwema Wakuu!
Hakuna kitu kizuri kwenye maisha Kama kuishi na mtu mnayependana, Yaani muda wote raha tuu!
Mnaishi Kama Watoto, mnacheza Kama watoto mkiwa pamoja, hakuna Siri. Hakuna chuki.
Mkigombana hamuwezi kukaa masaa mawili mnajikuta mmesahau kuwa mligombana, mnaendelea kupiga Stori na kucheka.
Mnaheshimiana, bila kuogopana, mnakuwa marafiki wa kweli, zaidi ya ndugu.
Hakuna kuviziana na kunyonyana. Mnapiga Umbeya mpaka unawaishia mnaanza kucheza Games, mkichoka mnaenda kuzurura huku na huko na kigari chenu au kama hamna Gari mnapanda Daladala.
Watu wanaopendana hawawezi kuukimbia Umbeya.
Usije msema Mke au mume WA mtu aliyekwenye mahusiano yenye mapenzi ya dhati mbele ya mmoja wao, Umbeya utamfikia huyo unayemsema.
Mapenzi yananguvu kuliko Mauti wahenga walisema, Ogopa watu wanaopendana Kwa dhati yote hao kuwavuruga haiwezekani.
Mapenzi matamu hasa ukimpata mtu sahihi mnayependana.
Wasalamu
Duuuh ninyi mmewezaUmeizungumzia ndoa yangu mkuu, shukran sana since 2006 hadi Leo na five children naona kama jana tu Alhamdulillah
Tena mimi degree afisa gvt,mme wangu std 7 mfanyabiashara mwenye exposure na mapenzi ,huruma na heshima viko palepale kama tumeoana jana yeye 50 mm 40 yrs.Duuuh ninyi mmeweza