We unawaona hao ni wanadamu wa kawaida?Ivi wale ninaowaonaga kwa mzee wa upako wakisema, " miezi mitatu uliyopita nilikuja hapa sina kitu, ila sasa nini nyumba 3, na harrier nimepaki nje" wanawezaje?
Make hakunaga hata mmoja anayetuambia kapataje,kama alidanga, kaiba au kapiga dili sehemu.
Ha ha ha...mkuu bia imekustua[emoji39]Katika vitu ulivyovitaja hapo, umetaja na bia, kwani lazima unywe bia? Hapo ndipo tunapokosea wengi; kwenye biashara, usitumie sehemu ya mtaji kwenye mambo ya starehe, piga hesabu za maingizo yako kwa kila siku, kama unaona hakuna faida iliyoingia, achana na bia na starehe zingine.
Hata wote wakiwa wafanya biashara, hapawezi kukosa kuwa na wanunuaji, hawahawa wafanyabiashara ndio wanunuaji, kwani hawauzi bidhaa zinazofanana (differentiated products)Morogoro [emoji3][emoji3] ni mkoa ambao karibia raia wote ni wafanyabiashara sijui mnunuzi atakuwa nani?
Hakuna biashara utaikosa Moro.
Mkuu biashara ndio zilivyo yani mpaka ichanganye lazma uvumilie sana ijenge wateja wa kudumu😅 ndio maana wasio na mioyo huwa wanahama hama leo anafanya hiki kesho kile ila mwishowe hutaona mafanikio sababu muda wa kuvumilia hawautaki!Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Ha ha ha ni noma yani biashara ngumu sana😅 ila pia zina mbinu zake nahisi wengi tunakosa kuzifahamu! Sijui wahindi wanafanikiwaje kwa kuuza vifungo, sindano, zipu na nyuzi za kushonea bila kusahau vitambaa😅Kuna jirani yangu yeye alifungua mini-supermarket daily anatupa vitu vilivyooza/haribika hajawahi kuuza hata mkate 1pc. Kweli biashara hizi tuwaachie Wapemba/wahindi/waarabu sisi waswahili tuendelee kupiga domo Kama Msemaji (aliyetimuliwa)
Sometimes inatakiwa kujilipua tu maana ukijifanya kubase kwenye kuchunguza sana mitaa hutafanya biashara yeyote ile 😅😅😅! Hakikisha tu watu wapo utapiga biz ila biashara nzuri ni ambayo ina cover wateja aina zoteNi swala la kujifunza tu mkuu la sivyo hawa jamaa wataendelea kumonopolize uchumi na sisi kubaki tunalia lia tu bila kuwa uchumi stable.
Kabla ya kufungua biashara eneo lolote lile lazima ufanye tafiti ya uhitaji wa eneo husika.
Hali gani kiongozi?Kwa Hali ilivyo zinakutupa zote vzr tu
Chakula kinatoka kirahisi sababu haibagui wateja ukiwa centre nzuri lazima uuze tuMkuu biashara ya kutoka kirahisi kwa mtu usiekuwa mtaalamu saaaana wa biashara Ni chakula.
Fanya research kwa eneo zuri la kuweka kijiofisi chako ( breakfast , lunch na chakula cha jion kwa mabachelor). Utanishukuru hapa.
Milion 2 kwa kuanzisha kijieneo Cha chakula inatosha.
Huwez kukosa 30,000 mpaka 50,000 kwa siku Kama faida Kama unauza kuanzia asubuhi Hadi usiku.
Kumbe muongo huyoWe jamaa una fix sana
Ndomu zenyewe siku hizi watu wanapenda nyama nyama wakojoe fasta wakajenge taifa.Ngoja nianze kuuza ndomu[emoji1751]
Wako kazini wale ni brand ambassadors wa ufufuo na uzima😅😅😅 kwa mzee wa upakoIvi wale ninaowaonaga kwa mzee wa upako wakisema, " miezi mitatu uliyopita nilikuja hapa sina kitu, ila sasa nini nyumba 3, na harrier nimepaki nje" wanawezaje?
Make hakunaga hata mmoja anayetuambia kapataje,kama alidanga, kaiba au kapiga dili sehemu.
Ulishawahi kufanya?Mkuu biashara ya kutoka kirahisi kwa mtu usiekuwa mtaalamu saaaana wa biashara Ni chakula.
Fanya research kwa eneo zuri la kuweka kijiofisi chako ( breakfast , lunch na chakula cha jion kwa mabachelor). Utanishukuru hapa.
Milion 2 kwa kuanzisha kijieneo Cha chakula inatosha.
Huwez kukosa 30,000 mpaka 50,000 kwa siku Kama faida Kama unauza kuanzia asubuhi Hadi usiku.
Yani unakuta unafanya biashara ambayo ukinunua tu hata suruali basi hesabu umekula mtaji,kuijazia hiyo pesa ya suruali ni mtiti.Unakuta biashara inashindwa kukununulia hata vocha ya kuwasiliana na wateja, biashara gani hiyo!
Pole sana mkuu. Nimefungua ya viatu vya wazi wanawake na wanaume yaenda mwezi sasa sijauza hata pair kumi. Silipii frame wala kodi nimejipatia nafasi kwa business ya nyumbani. Aisee nina mpango wa kuuza stock kwa hasara, hadi naogopa kwenda kuitazama yapata wiki tatu sasa nimeiterekeza kwa muuzajiNimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
[emoji23][emoji23][emoji23]Eti Mapinga,au atakua amefungua duka lake hapo Tubuyu.Vipi mkuu umefungua mapinga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hicho kitu nimendika ila usikipe uzito kiasi hicho,ni sawa na ningeandika Soda au juice hapo.Katika vitu ulivyovitaja hapo, umetaja na bia, kwani lazima unywe bia? Hapo ndipo tunapokosea wengi; kwenye biashara, usitumie sehemu ya mtaji kwenye mambo ya starehe, piga hesabu za maingizo yako kwa kila siku, kama unaona hakuna faida iliyoingia, achana na bia na starehe zingine.
Changamoto ni pale ambapo hiyo hiyo biashara yenye mtaji mdogo na faida ndogo inatakiwa kulipa bills zote muhimu mfano,kodi,maji,umeme na chakula.Nilichokiexperience mimi mwenyewe ni hiki
Ukifungua biashara kwa mtaji mdogo, inakubidi uwe na subra mnooo kusubiri iweze kuanza kujihudumia yenyewe baadae ianze kukuhudumia. Inataka uwe na moyo wa chuma haswaa, hapo anasa na starehe zote uvione kama ukoma, utatoboa.
Hongera na pole MkuuPole sana mkuu. Nimefungua ya viatu vya wazi wanawake na wanaume yaenda mwezi sasa sijauza hata pair kumi. Silipii frame wala kodi nimejipatia nafasi kwa business ya nyumbani. Aisee nina mpango wa kuuza stock kwa hasara, hadi naogopa kwenda kuitazama yapata wiki tatu sasa nimeiterekeza kwa muuzaji