Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

Kwa mtizamo kama huu hakuna atakayeanzisha biashara kwa sababu anaeanzisha biashara hana nyingine zaidi ya hiyo anayoianzisha.
 
Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Punguza bei za bidhaa zako.
 
Wewe ndo uko ubongoni mwangu... hili ndo wazo linanitafuna kichwa now[emoji848]
Nilikuaga napika msosi mwenyeqe nikiwa dom nikawa nasambaza ikanisaidia kulipa ada ya kumaliza masomo maana nilisitisha mwaka mmoja baada ya mambo kua tight. Biashara ya chakula inahitaji usimamizi wa hali ya juu, uwe jikoni mwemyewe ukiachia tu hawa wadada kwisha habar yako, wanaeza enda chukua order akapendwa huko akaliwa akarudi saa tisa hahahaha na huna cha kumfanya unamlipa 4000 kwa siku 7yrs ago kashaliwa kwa 10000 hyo 4000 yako haina thamani kwake kwa siku hyo. Ina changamoto ila ina pesa
 
Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1,frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Pole mkuu, kabla ya kufungua ulifanya savie kidogo kuhusu biashara unayotaka kufanya kwa kuomba ushauri kwa wazoefu na mazingira ya biashara unayotaka kuweka biashara yako , mazingira hua ni muhimu sana mkuu, ukikaa mazingira sahihi huwezi kaa siku zote hizo bila kuuza
 
Ni swala la kujifunza tu mkuu la sivyo hawa jamaa wataendelea kumonopolize uchumi na sisi kubaki tunalia lia tu bila kuwa uchumi stable.

Kabla ya kufungua biashara eneo lolote lile lazima ufanye tafiti ya uhitaji wa eneo husika.
Utafiti unafanyikaje mkuu,
Hebu tupe ABC mfano hapo Tegeta kibaoni jamaa sngeangalia vitu gani ?
 
Kuna migawa minne naijua mmoja mkubwa wenye wahudumu wavaa sare migahawa mitatu ya kienyeji yote ndani ya miezi nane ilikufa mingine haikufikisha hata miezi 6
 
Hii ni kwa experience yako Au general!?
Kwangu imefanya kazi
It goes well so far.
Frame paid in advance

kama lengo lako limesimama
Na unajua unachotaka
Izo ulizotaja ni simple challenges.

(mtazamo wangu)
Inategemea na biashara, Kama una uzoefu wa biashara then ukafanya utafiti wa kutosha ukawekeza mtaji wa kutosha let's say mil 100 hiyo biashara utaweza kuitegemea % 100

kumbuka ukitaka pesa nyingi lazima investment yako iwe kubwa and vice versa is true.
 
I appreciate for what you have done.
Hakika umeeleweka Amigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…