Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Ukiitoa Kilimanjaro Bado Mikoa mingine Tanzania ni maskini

Hawana mitaji kabisa hata ya kuanzia, hawana maeneo, afya mbovu n.k
Mitaji na Afya mbovu sawa.

Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu?
 
Mitaji na Afya mbovu sawa.

Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu?
Upo utaratibu wa kupata ardhi ulime hata kwa mkoa mkubwa kama Tabora ambao utahitaji utoe kitu kidogo mfukoni, wengine mifukoni mwak ni 0 kabisa na hawana wa kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom