Cha kushangaza huko kwenye msongamano na maji ya mifugo ndio mnakimbilia kila siku.
Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoo, na kwakuwa nchi yetu mifumo siyo customized. Ndio maana Kuna umeme.
Kusema Kuna maji 95% ni stori za vijiwe vya mbege na mirungi.
Barabara ya rami ni moja tu. Barabara kuu ya kuunganisha Wilaya.
Kilimanjaro mjini ni wapi??
Kwasababu unapend sana kubweka kuhusu supermarket as if ni kitu Cha maana mnoo.
Ninavyojua supermarket huwa wanakodisha shelves than kunakuwa na suppliers. Yaani mtu kuwa na duka lake kubwa unaita supermarket [emoji26]
Kwenda mjini wapi?
Huduma gani?
Wewe jamaa ni limbukeni sana. Ghorofa ni utamaduni tu wa Jamii fulani, pamoja na uhaba wa ardhi.
Ndio maana Kenya wanapenda sana kujenga maghorofa.
Ghorofa Ni nyuma 2 zinazokaliana Wala siyo kitu Cha ajaabu.
Hotel za Nini?
Kila, guest house au Nini?
Zahanati zilizopo ni za Katoliki na kwakuwa kieneo chenyewe ni kidogo kukiwa na zahanati ya wakatoliki pamoja na serikali moja itaonekana Kuna zahanati nyingi
Hospitali za kiwango gani?
Maana unazungumza zahanati Mara unarukia Hospitali. Upuuzi
Shule hazina msongamano Kwasababu ninyi na Watoto wenu mmekimbia Kilimanjaro mmeenda mikoa mingine kuongeza msongamano. Rudini kwenu Kama mtatosha?!!
Huku nilikuja kikazi na ninapamba kila namna kuhama huku. 99% ya kila mfanyakazi aliyeletwa huku anapambana kuhama. Ndio maana wanakatalia Uhamisho, maana watu wataisha.
Huko kwenu nimetembea, nimeona watafuna mirungi fu, mbege, dadii, tope, milima, vumbi, unafiki na kitimoto.
Labda Kama unajua sehemu nyingine