Cha kushangaza huko kwenye msongamano na maji ya mifugo ndio mnakimbilia kila siku.
Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoo, na kwakuwa nchi yetu mifumo siyo customized. Ndio maana Kuna umeme.
Kusema Kuna maji 95% ni stori za vijiwe vya mbege na mirungi.
Barabara ya rami ni moja tu. Barabara kuu ya kuunganisha Wilaya.
Kilimanjaro mjini ni wapi??
Kwasababu unapend sana kubweka kuhusu supermarket as if ni kitu Cha maana mnoo.
Ninavyojua supermarket huwa wanakodisha shelves than kunakuwa na suppliers. Yaani mtu kuwa na duka lake kubwa unaita supermarket [emoji26]
Kwenda mjini wapi?
Huduma gani?
Wewe jamaa ni limbukeni sana. Ghorofa ni utamaduni tu wa Jamii fulani, pamoja na uhaba wa ardhi.
Ndio maana Kenya wanapenda sana kujenga maghorofa.
Ghorofa Ni nyuma 2 zinazokaliana Wala siyo kitu Cha ajaabu.
Hotel za Nini?
Kila, guest house au Nini?
Zahanati zilizopo ni za Katoliki na kwakuwa kieneo chenyewe ni kidogo kukiwa na zahanati ya wakatoliki pamoja na serikali moja itaonekana Kuna zahanati nyingi
Hospitali za kiwango gani?
Maana unazungumza zahanati Mara unarukia Hospitali. Upuuzi
Shule hazina msongamano Kwasababu ninyi na Watoto wenu mmekimbia Kilimanjaro mmeenda mikoa mingine kuongeza msongamano. Rudini kwenu Kama mtatosha?!!
Huku nilikuja kikazi na ninapamba kila namna kuhama huku. 99% ya kila mfanyakazi aliyeletwa huku anapambana kuhama. Ndio maana wanakatalia Uhamisho, maana watu wataisha.
Huko kwenu nimetembea, nimeona watafuna mirungi fu, mbege, dadii, tope, milima, vumbi, unafiki na kitimoto.
Labda Kama unajua sehemu nyingine
Hahahaha mkuu unachekesha mno
1: Zahanati za kikatoliki zipo vijijn kote ni Kweli si ndio mãendeleo ? Ulidhani maendleo lazma yaletwe n'a serikali ? Private sector ni main stimulator WA économique. Zahanati za private zipo vijijn uchagan kwakuwa Wana uwezo WA kutibiwa huko,ungetaka wakaweke huko kwa watu ambao hâta bati la kuezeka nÿumba ni shida je ataweza kumudu matibabu ya private?
2:Nimezungumzia pia hospital Kila wilaya ina hospital zaidi ya tatu(elewa Neno hospital) ,vituo vya afya siwezi hâta kuhesabu
3:barabara za lami zipo maeneo mengi ambayo hâta SIO highway
Mfano barabara za bomangombe-machame,Moshi -kibosho,moshi_ old Moshi,himo -marangu-mwika, bomangombe-sanya juu NK(HIZO SIO BARABARA KUU NI LOCAL)
4-:Hujui maana ya uchumi,Sisi Wachaga popote penye fursa tunapatumia wakati mkiwa mmelala fofofo,kama wazungu,wahindi,waarabu wanavyokuja huku Africa je kwao ni maskini au kubaya? Wamekuja kuongeza fursa Zaid SIO uridhike na kitu kimoja haishangazi kukuta maeneo yote Tanzania jina MANGI sio geni
5: mwaka 2017 WANANCHI Wa vunjo walichanga bilion 7 kukarabati barabara zote za Jimbo HII haiwezi kutokea popote Tanzania,ndio maana jiwe alikuwa na chuki kali sana na jamii HII,enzi za vyuma kukaza Kilimanjaro tulikuwa tunakula kwa mrija,desemba alishangaa mwenyewe misafara ya ma V8 yanayoenda migombni
6:Kuna Mahali pazuri kwa mfanyakazi kama Kilimanjaro? Hko kwenu usukumani hâta nÿumba ya kupanga ni shida unakuta za nyasi tu,NENDA nyangwale uone,Imani za kishirikina zimetawala hko watu wanapanda mafisi,nÿumba za watumishi wanawasumbua kishirikina mara wanye kwenye vyombo vya kulia,mara wawatoe nje usiku(réjea tukio lililowakumba waalimu Hko bukombe) Hadi afisa Elimu akatishia kuwahamisha waalimu wote.hko ndiko kugumu, Kilimanjaro ushasikia vitu vya kijinga kama hivyo kwa watumishi ? Kilimanjaro nÿumba mtumishi unaweza pewa nÿumba kubwa nzuriii Kila kitu na gate ukaambiwa Lipa 20000 tu manake unakuwa kama mwangalizi(kule watu wengi wanaajiri watu kwa ajili ya kuangalia nyumbani na usafi tu) Sasa utoke Kilimanjaro yenye asali na maziwa ukanywe maji na ngombe?[emoji3][emoji3][emoji3].
7:Kuhusu supermarkets
Hizo zipo Vijijin NENDA marangu,mamba,kilema,rombo zipo kibao
Kuhusu ghorofa: unasema ghorofa sio kitu chá ajabu,niambie ni wapi vijijin Tanzanie hii utakuta maghorofa ? Nyie si mnaenda furahisha pale kushangaa mkishavuna mpunga huko kwenu ngudu?[emoji3][emoji3]