Hahaha
Kanda ya ziwa wanakokunywa maji pamoja na ngombe kwenye malambo?
Cha kushangaza huko kwenye msongamano na maji ya mifugo ndio mnakimbilia kila siku.
Kilimanjaro 95% ya nÿumba zote zina maji na umeme,
Kilimanjaro ni kimkoa kidogo mnoo, na kwakuwa nchi yetu mifumo siyo customized. Ndio maana Kuna umeme.
Kusema Kuna maji 95% ni stori za vijiwe vya mbege na mirungi.
Barabara ya rami ni moja tu. Barabara kuu ya kuunganisha Wilaya.
supermarkets Hadi vijijin,
Kilimanjaro mjini ni wapi??
Kwasababu unapend sana kubweka kuhusu supermarket as if ni kitu Cha maana mnoo.
Ninavyojua supermarket huwa wanakodisha shelves than kunakuwa na suppliers. Yaani mtu kuwa na duka lake kubwa unaita supermarket 😥
huduma zote za kijamii zinapatikana wilayan hkohko MTU Hana haja ya kwenda mjin
Kwenda mjini wapi?
Huduma gani?
Wewe jamaa ni limbukeni sana. Ghorofa ni utamaduni tu wa Jamii fulani, pamoja na uhaba wa ardhi.
Ndio maana Kenya wanapenda sana kujenga maghorofa.
Ghorofa Ni nyuma 2 zinazokaliana Wala siyo kitu Cha ajaabu.
mahotel yapo vijijin hkohko
Hotel za Nini?
Kila, guest house au Nini?
Haishangazi kukuta Hadi zahanati za private Vijijin,
Zahanati zilizopo ni za Katoliki na kwakuwa kieneo chenyewe ni kidogo kukiwa na zahanati ya wakatoliki pamoja na serikali moja itaonekana Kuna zahanati nyingi
haishangazi kukuta wilaya Moja Ina hospital 5
Hospitali za kiwango gani?
Maana unazungumza zahanati Mara unarukia Hospitali. Upuuzi
Haishangazi kukuta shule hakuna msongamano WA wanafnz kama hko kanda ya ziwa
Shule hazina msongamano Kwasababu ninyi na Watoto wenu mmekimbia Kilimanjaro mmeenda mikoa mingine kuongeza msongamano. Rudini kwenu Kama mtatosha?!!
Uthibitisho WA ubora WA kuishi Kilimanjaro unao maana Hadi MDA Huu unaishi Kilimanjaro means ni kuzuri sana,
Huku nilikuja kikazi na ninapamba kila namna kuhama huku. 99% ya kila mfanyakazi aliyeletwa huku anapambana kuhama. Ndio maana wanakatalia Uhamisho, maana watu wataisha.
tembelea maeneo ya machame,marangu,rombo,kilema NK ukasafishe macho kwa makazi Safi,mazingira Safi na Hali ya hewa Safi kule watu hawanywi maji ya malambo, kule huduma zote zipo Karibu na mwananchi sio kama kwenu MTU kwenda wilayani anatumia masaa 8
Huko kwenu nimetembea, nimeona watafuna mirungi fu, mbege, dadii, tope, milima, vumbi, unafiki na kitimoto.
Labda Kama unajua sehemu nyingine