Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 11, 2023 #341 msakaa jr said: Mkuu kwanini hawana uwezo wa kulima? Click to expand... Hawana mitaji kabisa hata ya kuanzia, hawana maeneo, afya mbovu n.k
msakaa jr said: Mkuu kwanini hawana uwezo wa kulima? Click to expand... Hawana mitaji kabisa hata ya kuanzia, hawana maeneo, afya mbovu n.k
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Nov 11, 2023 #342 Yoda said: Hawana mitaji kabisa hata ya kuanzia, hawana maeneo, afya mbovu n.k Click to expand... Mitaji na Afya mbovu sawa. Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu?
Yoda said: Hawana mitaji kabisa hata ya kuanzia, hawana maeneo, afya mbovu n.k Click to expand... Mitaji na Afya mbovu sawa. Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Nov 11, 2023 #343 msakaa jr said: Mitaji na Afya mbovu sawa. Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu? Click to expand... Upo utaratibu wa kupata ardhi ulime hata kwa mkoa mkubwa kama Tabora ambao utahitaji utoe kitu kidogo mfukoni, wengine mifukoni mwak ni 0 kabisa na hawana wa kuwasaidia.
msakaa jr said: Mitaji na Afya mbovu sawa. Tabora ni miongoni mwa mikoa mikubwa Tanzania, kama sio wa kwanza basi wapili! Au unamaanisha maeneo yapi mkuu? Click to expand... Upo utaratibu wa kupata ardhi ulime hata kwa mkoa mkubwa kama Tabora ambao utahitaji utoe kitu kidogo mfukoni, wengine mifukoni mwak ni 0 kabisa na hawana wa kuwasaidia.