Ukijifunza kwa waliofanikiwa, hawawezi kukupa njia za mafanikio

Kabisa mkuu, hawatoi kabisa mnyororo mzima namna walivyo fanikiwa, zaidi zaidi wanatupa maneno ya kutufariji tu..
Wazungu wakonwaz sana. Ndio maana wanaandikanmpaka vitabu..very open. And their "rich to be" hustles are very traceable
 
Usisave pesa zako but wekeza zikuzalishie ila pia wekeza katika kitu sahihi na usiogope risk...huo upuuz wa kusave pesa bila kuwekeza niliachaga unless niwe na emergency fund
Inategemea na kiasi ulicho nacho mkuu, ndo utaweza kuwekeza, ila kama zile za nipate niweke kinywani, ni taab Sana...
 
Ujumbe mzuri mkuu, wote tunajua hela ni haramu, sasa kama ulipata hasa kwa kichwani πŸ˜„πŸ˜„, Unaonaje na sisi utupe direction ya kufika hapo. Kwenye wizi hapo achana napo labda iwe ndani ya CCM.
 
Wazungu wakonwaz sana. Ndio maana wanaandikanmpaka vitabu..very open. And their "rich to be" hustles are very traceable
Naam, mzungu akifanikiwa lazima aweke documentary yake, namna alivyo toboa maisha. Tuje Africa sasa..
 
Naam, mzungu akifanikiwa lazima aweke documentary yake, namna alivyo toboa maisha. Tuje Africa sasa..
Utasikia "aahh namshukuru Mungu, amenisaidia" imeisha hiyooo

Sema na sisi weusi tatizo husda sana ndio maan watu wanapenda kuwa wasiri.

Ukishajua mtu wapi aliweka mizizi yake ya kutobolea life, badala ujifunze ,mbongo anaenda kukuharibia , shida huamzia hapo watu kuwa wachoyo wa kutoa ramani maana hamkawii kuwawangia
 
Tatizo hasa hapa kwenye husda, mtu amekupa njia ili utoboe lakini unakuwa mtu wa kwanza kuweka hadharani siri na kumharibia maisha yake, Kweli hii ni Moja ya changamoto sisi rangi nyeusi tuliyo nayo
 
Tatizo hasa hapa kwenye husda, mtu amekupa njia ili utoboe lakini unakuwa mtu wa kwanza kuweka hadharani siri na kumharibia maisha yake, Kweli hii ni Moja ya changamoto sisi rangi nyeusi tuliyo nayo
Ndio maana yake. Una act kama una feli vile kumbe ndo unatoboa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana yake. Una act kama una feli vile kumbe ndo unatoboa πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii comment wasione wale walio toboa maisha kwa njia ya panya. Watazidi kuwa na sura ya mbuzi zaidi. Ili kuepusha kushawishiwa na wapelelezi. πŸ˜„πŸ˜„
 
Huyo anajua malengo yake na anachokifanya. Mwenyewe nmejiwekea utaratibu wa kusave 75% ya kila kiasi nikipatacho kwa ajili ya kukua kiuchumi. Kuna vitu najinyima sana lakini fresh ni kwa faida ya future yangu.
Ukitaka kupata 100 ni lazima uanze na 1.
Moja ya kanuni ya Hela ni Spend money save too,usisahau kuenjoy maana muda haupo kukusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…