Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Bruh,ukishakula jakubumba plus umetoa cash yako CRDB/NMB huwa una mawazo superb!Mimi huwa sijifananishi.Huwa najiona very unique.Au huwa nakwama sehemu?Brothers good evening....... Naamini hakuna sisters hapa, kwasababu sisters walikuwepo watatu tu, mmoja kaenda masomoni, mmoja yupo martenity mmoja hayupo active.
Back to topic: hivi hii kitu na nyie huwa mnaona? Au ni mimi tu najiona star kwenye kioo. Mi nikiwa mwenyewe, natembea peke angu, najitazama kwenye kioo huwa naona picha flani hivi.
Kwanza ni picha ya "Princess Diana" sio kwa muonekano ila ile spirit. Huwa nikiangalia videos za princess Diana, namuona alikua mwanamke mwenye roho nzuri, mwenye kiwango kikubwa sana cha Empathy lakini pia mnyenyekevu kwa watu.
(Ooh bro kajipakulia minyama)
Kama sifanani nae basi natamani sana kuwa kama yeye. Kuna muda huwa najiona princess Diana wa bei ya jioni.... princess Diana wa kikuu.
Kwa mbaaali naonaga pia picha ya Marylin Monroe, hii naomba nisielezee sana make sitaeleweka.
Bros nyie mkijiangalia mnaona mnafanania na kina nani?
Usiogope kuwa Zuchu
Bro unafeli.....Bruh,ukishakula jakubumba pluse umetoa cash yako CRDB/NMB huwa una mawazo superb!Mimi huwa sijifananishi.Huwa najiona very unique.Au huwa nakwama sehemu?
Ngoma ikifika mwishoni mwa mwezi ujao.Simu za mpwa wangu anaumwa nikuarifie laki na robo zipungue,bruh!Bro unafeli.....
Nimevuta na salary advance.....weeeee najiona pdidy tena
😂😂😂 Bro mbona kama unaona picha ya shetani.Bro naona lecture wako wa marketing yupo vizuri sana.
Bruh,upo Nyegezz unapiga kilauri!Nikifika nakuongezea upako wa altar wine ili uwake zaidi.😂😂😂 Bro mbona kama unaona picha ya shetani.
Shenzi wewe
Bro naona picha ya nabii kwenye Id yakoBruh,upo Nyegezz unapiga kilauri!Nikifika nakuongezea upako wa altar wine ili uwake zaidi.
Umechelewa kulitambua hilo,bruh! Jumapili nitakupatia sakramenti,bruh!Bro naona picha ya nabii kwenye Id yako
Nimelia sana 😓Maisha ya kibongo yanamfanya
best basketballer anaishia CRDB
best musician anaishia halmashauri
best physchologist anaishia kuwa comedian
Na kadha wa kadha, so wengi wetu tuna zile versions kichwani ambazo pengine tungeweza kuwa kama tusingechagua careers tulizonazo, tusingekuwa na majukumu tuliyonayo au hata tungechagua kusakrifaizi kidogo kwa ajili ya ndoto zetu.
So ukimuona mtu aliyefanikiwa kwenye kitu ulichotamani kuwa, unajikuta unaiona reflection ya uhalisia wako. Though haimaanishi kama ungefanya ungefanikiwa kama wao ila ndio hivyo bro, unabaki na what if
Aliwazalo mjinga.......Smelling fishy
View attachment 3677742
Kwa ufupi, tunaishi maisha ambayo siyo yetu.Maisha ya kibongo yanamfanya
best basketballer anaishia CRDB
best musician anaishia halmashauri
best physchologist anaishia kuwa comedian
Na kadha wa kadha, so wengi wetu tuna zile versions kichwani ambazo pengine tungeweza kuwa kama tusingechagua careers tulizonazo, tusingekuwa na majukumu tuliyonayo au hata tungechagua kusakrifaizi kidogo kwa ajili ya ndoto zetu.
So ukimuona mtu aliyefanikiwa kwenye kitu ulichotamani kuwa, unajikuta unaiona reflection ya uhalisia wako. Though haimaanishi kama ungefanya ungefanikiwa kama wao ila ndio hivyo bro, unabaki na what if