Ukijitizama kwa kioo na ukijifanyia tathmini huwa unapata picha ya mtu gani maarufu

Hii inaweza kuwa kweli kwa 85% ya watu, sad!!
 
Sindikiza na kapicha Kako ili tutathmini kwanza kama ni kweli, hata kama wanasema sura sio rohoπŸ˜…
 
A.K.A Mimi, binadamu wengi sana wanajiona kama mimi. Mimi ni Mimi tu! 😎

Harmful nasikia unajiona kama Piere Liquid ukishalewa kwamba unajipata uko juu kwa mawingu. Hebu tuambie ukweli ni gani katika hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…