figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
- Thread starter
-
- #21
Upo sahihi. Naomba ushuhuda wako, ulishampa au ulisikia mtu kaombwa Rushwa na mfanyakazi wa LATRA? Tujadiliane kwa fact sio hisia.Hapo kwenye hawahongeki ndo nimechoka kabisa.
Rushwa Iko kwenye DNA ya mbongo mkuu na hii sio kulaumu viongozi maana ni tatizo linaanzia kwenye familia zetu.
Kiufupi kuibadilisha hii nchi inahitaji kazi ya ziada vinginevyo labda huijui hii nchi vzr
Nahisi wewe kazi ya urefa au ujaji huowezi sababu utahukumu kwa hisiaAsante kwa masahihisho but hoja ipo pale pale hayaongwi mamlaka wanaongwa watendaji ambao ni watu na tabia za watu zinajulikana.
Boss, kusema kuwa "Hawaongeki" na ushahidi ikawa ni kutokusikia wakihongwa ndo hisia zenyewe.Nahisi wewe kazi ya urefa au ujaji huowezi sababu utahukumu kwa hisia
Swali ni dogo, ulishaombwa Rushwa na huyo mfanyakazi wa LATRA au ulishasikia mfakazi wa LATRA kapokea Rushwa?
Upo sahihi. Lakini hadi sasa taasisi zinazolaumiwa kwa Rushwa, LATRA haimo. Wanaoongoza kwa rushwa ni Polisi.. Latra wanafanya kazi kama Polisi lakini ni Wasafi. Nini siri? Mchujo wao wanaufanyaje? Au mishahara yao mikubwa?Wakiwa na shida na Hera lazima watachukua tu hwa watu hawakosagi kosa😀😀
Mbona wanafanya kazi kama polisiLATRA sio Jeshi. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) ni Mamlaka ya Serikali ambayo imejizatiti kusimamia sekta ya usafiri wa ardhini, hasa usafirishaji wa mizigo na abiria (mabasi ya mjini, mabasi ya njia ndefu, magari ya mizigo, teksi, pikipiki za magurudumu mawili na pikipiki za magurudumu matatu), usafiri wa Reli na usafiri wa Waya.. Mara nyingi wanaongozana na Polisi.. Ila wao sijawahi kuona wakiwa na bunduki.
Ndio majukumu yao. Nadhani umeona tofauti yaa. Ila swala langu mbona hao Polisi wanapokea Rushwa lakini wao hawapokei? Nini siri?Mbona wanafanya kazi kama polisi
Hapo kuna uhamiaji nao wanasimamishiwa magari na polisi.Hakuna kitu hapo, wamejitengenezea kamradi ka kula rushwa na polisi
Kuna mizani wako na polisi, kuna TRA wako na polisi, kuna hifadhi ya misitu wako na polisi, na hao nyongeza
Si muda mrefu kutakuwa na TBS nao wanakamata magari yasio na viwango
Unamanisha nini?Hapo kuna uhamiaji nao wanasimamishiwa magari na polisi.