Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Ukikuta hana bikira huyo sio mke wako - Mzee wa Upako

Hlf wenyewe wametulia kimya. wanauzoom👀👀tu kwa mbali kabisa huu uzi

wala hawataki kutia neno

yani ni kama hawauoni vile,,,mamaeeh🤣🤣wamekaa mbali kabisa na uzi mithiri ya polisi na bangi,,hawataki hata kutia neno

hii sasa ni zarau,
namm nasema hii haikubaliki,,,ngoja niwafate hukohuko waliko..

maana haiwezekani

huu ni wizi wa mchana kweupe haufai kufumbiwa macho
 
Back
Top Bottom