Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku,wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokua na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank.ofcoz nilikua nimepiga maji kidogo ila niliwakariri.niliripoti tukio police ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa me nikaamua kuwawinda hawa vibaka,alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri,nikapita yale maeneo yao na kibegi changu.mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.kwa sababu nilikua nimejiandaa kwa vita,nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokua nayo,nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia,nami nikala nao sahani moja,nikamkamata mmoja aliyekua kaanguka akawa ndio mateka wangu,yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Kwakweli kwa sasa inahitajika operation ya hivi.... Watatulia tu.....
 
Nilishuhudia dogo mmoja wanamfunga mdogo wake kwenye bomba la gari la kutolea moshi (exhaust) mwenye gari akawa anapiga resi...wakahakikisha moshi unaingia ipasavyo...baada ya hapo wakamuacha..unajua nini kilitokea?..
 
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku,wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokua na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank.ofcoz nilikua nimepiga maji kidogo ila niliwakariri.niliripoti tukio police ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa me nikaamua kuwawinda hawa vibaka,alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri,nikapita yale maeneo yao na kibegi changu.mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.kwa sababu nilikua nimejiandaa kwa vita,nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokua nayo,nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia,nami nikala nao sahani moja,nikamkamata mmoja aliyekua kaanguka akawa ndio mateka wangu,yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Ulichofanya siyo ubinadamu huo.Ulipaswa umuue ili asibaki na maumivu maishani.Kill the bastard!
 
Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.

Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo. Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Safi mno. Ungekata mguu na mkono kabisa. Ila ukweli kuna movie madam anachezewa ila hataki kuona. Hii movie ni zaidi ya Royal Your. Afanye haraka mno aanze na IGP pia kundi lenye mipango nyeti akiwemo Nchemba. Ni planned move.
 
Back
Top Bottom