kweli mkuu wewe ni mwanaume tena wa dar-ea-salaam unakwenda vitani na mapanga mawili halafu yote yako kwenye begi mgongoni umatisha mkuu labda tusikie GENTAMYCINE atakujibuje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa alitumia mapanga mawili...😂😂Huu ni muendelezo wa chai mbali mbali kutoka kwa wanaume wa daslamu katika harakati za kuficha fedheha😀
Hata wewe hapo ulipo ni polisi tosha. Acha kuleta siasa uchwara hapaHii ndiyo dawa! Tukisema tusubiri jeshi la PoliCCM tutaishia kuwa kama Mexico au Colombia.
Ungemtoa masikio yote kabisa harafu unamtoa na jicho Moja na toa vidole vyote vya mkono wa kulia,then unamwambia wapelekee salamu wenzio.Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.
Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Wameamua kutufanyia maigizo..Wanaume wa Dar mmeamua kurevenge
We mkristo!,.... huyo alistahili kuacha kiganja na vidole vyake vyote vya mkono wa kushoto.Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.
Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Dah tutamkumbuka sana Dr Magufuli. Alisisitiza sana tufanye kazi, kila mtanzania alijitahidi kufanya kazi ili aishi. Ila sasa kila mtu anaona bora apige dili ili aishi. Mama hata kukemea hakuna
Dah, una huruma sana. Kaenda na kende zote?Ipo hivi.
Weekend iliyopita hawa vijana wanaojifanya wahuni wa mtaa walinitaiti mahali usiku, wakanipiga sana na kuniibia vitu vyangu ikiwemo simu na wallet yangu iliyokuwa na pesa na vitambulisho pamoja na kadi za bank. Ofcoz nilikuwa nimepiga maji kidogo ila niliwakariri, niliripoti tukio polisi ila hakuna lolote lililofanyika.
Sasa mimi nikaamua kuwawinda hawa vibaka, alfajiri ya leo nikajifanya nimetoka na begi nikizuga kuwa nasafiri, nikapita yale maeneo yao na kibegi changu, mara watatu wakanivaa wakaniambia niko chini ya ulinzi na nitoe vyote nilivyonavyo.
Kwa sababu nilikuwa nimejiandaa kwa vita, nikajifanya nafungua lile begi langu nikatoa mapanga yangu mawili niliyokuwa nayo, nikaanza kuwashambulia wakawa wanakimbia, nami nikala nao sahani moja, nikamkamata mmoja aliyekuwa kaanguka akawa ndio mateka wangu, yule dogo nimempiga sana na nimemkata vidole viwili vya mkono wa kulia ili iwe fundidho kwa wenzake.
Wewe unajuaje kuwa sina uhakika na sikuwepo eneo husika?Una uhakika wao ndio wauwaji?
Wewe unajuaje kuwa sina uhakika na sikuwepo eneo husika?
Walijeruhi watu 23 kwa mapanga na kati yao wawili walifariki tokana na majeraha hatari sana mwilini mwao.
😆 Kama nakuona vile unavyoyachomoa mapanga yako mawili kwenye begi.Ipo hivi.