Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

kweli mkuu wewe ni mwanaume tena wa dar-ea-salaam unakwenda vitani na mapanga mawili halafu yote yako kwenye begi mgongoni umatisha mkuu labda tusikie GENTAMYCINE atakujibuje
 
Ungekata kipande kizima cha vidole ingekuwa poa sana
 
Hii ndiyo dawa! Tukisema tusubiri jeshi la PoliCCM tutaishia kuwa kama Mexico au Colombia.
Hata wewe hapo ulipo ni polisi tosha. Acha kuleta siasa uchwara hapa
Jilinde na linda yako
Polisi peke yao hawatoshi
 
Ungemtoa masikio yote kabisa harafu unamtoa na jicho Moja na toa vidole vyote vya mkono wa kulia,then unamwambia wapelekee salamu wenzio.
 
We mkristo!,.... huyo alistahili kuacha kiganja na vidole vyake vyote vya mkono wa kushoto.
 
Basi cna tu gobole,,,hawa vijana ningekua navunja miguu tu
 
Dah tutamkumbuka sana Dr Magufuli. Alisisitiza sana tufanye kazi, kila mtanzania alijitahidi kufanya kazi ili aishi. Ila sasa kila mtu anaona bora apige dili ili aishi. Mama hata kukemea hakuna

Mama ana mambo mengi ya kufanya,,,hata suala la kukemea amekemea sana labda unaishi ngorongoro huko
 
Dah, una huruma sana. Kaenda na kende zote?
 
Acha kujichukulia sheria mkonononi sio vizuri by Mr Justice
 
Pata K Vant moja hapo nakuja kulipia!
Serikali ikutazame kwa jicho la tatu, unafaa kuwa kamanda wa kupambana na panya Road!

Kazi iendelee!
Njoo na huku mtaani kwetu, umuondoe dushe mhuni mmoja ili iwe fundisho kwa wengine!
 
😆 Kama nakuona vile unavyoyachomoa mapanga yako mawili kwenye begi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…