Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Kuna jamaa mmoja aliwahi kata kabisa kiganja cha mkono wa kibaka baada ya kuudaka dirishani kibaka huyo alipoingiza kutaka kuiba.
Alafu jamaa akabaki na kiganja hadi siku alipoambiwa kuna dogo mmoja amekatika kiganja maeneo fulani ila yeye alisema alipata ajali. Basi jama akafungasha kiganja hadi kwa wazazi wake na kuwapa full story kisha kuwaachia mzoga wao. Dogo alikuwa ndani aliposikia maelezo akakimbia kupitia mlango wa nyuma.
 
Ustadh utatuharibia siku... Naomba tukuache kama kiporo
 
Unapigana na watoto, kwan we ni mtoto [emoji23][emoji23]....ingefaa huyo dogo akupeleke kwa wakubwa zake uwacharange mapanga vizur [emoji1][emoji1]
We jamaa naona umekumbushwa enzi zako
 
Baadhi a polisi bure kabisa, Sirro tupatie nafasi ya kupigia kura vituo vyote vya polisi, upate kujua kiachoendelea. Enzi ya magufuli kulikuwa shwari
 
Ulikuwa umelewa sana. Ulipigwa sana na vijana watatu wadogo?
 
Babu hili jina la😠 kikurya? Kyan nini sijuwi!,🤣🤣🤣🤣
 
Vidole atavumilia, ungekata goroli zake ili kutokomeza kizazi hicho kisijirudie
 

Kwa hiyo unajisifu kumpiga mtoto wa miaka 15?
 
Kimara ipi hiyo mkuu tuchukue tahadhari na sisi?
 
shughuli ninazofanya zinanilazimu kuwa na bastola muda wote, lakini nikikumbuka kwamba sihitaji kuwa na historia ya kutoa roho ya mtu hapa duniani, huwa naahirisha kumiliki bastola. awe jambazi, awe mtu wa aina yeyote, kumwaga damu yake kungeniwekea historia mbaya sana nafsini mwangu.
 
Panga tena mawili unaweka kwenye begi hadithi za cheichei shangazi
 
Ustadh utatuharibia siku... Naomba tukuache kama kiporo

Hapana mkuu,,hapa najaribu kuwaweka sawa,,,mtu ameiba ndala dukani, je! yafaa kumuuwa!! Au nieleweshe kuhusu hao panya buku wakoje, na wanatumika kujeruhi/kuuwa watu!!!
 
Kuna yale mabegi kama ya watarii,,,mapanga yanaingia vizuli sana. Labda ya huko kwenu marefu kama mpini wa jembe ndio maana.
 
Watakuwinda wewe, so ndio kazi Sasa iliyobakia na wao lazima wa revenge mwanao akaumizwa.
 
Mkuu, ni chai ila tamu! [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…