Ukikutana na kijana wa umri kati ya 15-20 maeneo ya Kimara amekatwa vidole viwili vya mkono wa kulia, mimi ndiye nimemfanya hivyo

Apostle kuna muugiza
 
Aaahh we jamaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kama hujawahi kuwekwa kati utaona simple tu!
Wanakera kwa sana hawa vibaka! Hivyo akiingia anga zako mshughulikie kivyako kwa raha zako[emoji83]
Kumkoma nyani giladi[emoji3][emoji16][emoji16]
 
Kama hujawahi kuwekwa kati utaona simple tu!
Wanakera kwa sana hawa vibaka! Hivyo akiingia anga zako mshughulikie kivyako kwa raha zako[emoji83]
Kumkoma nyani giladi[emoji3][emoji16][emoji16]

Unaonekana umefuzu kwenye hayo mambo
Sipati picha ungepata nafasi kama ya mtoa mada uyo kijana angekua kwenye hali gani[emoji16]
 
Ukiachana na mapanga kuna vishoka flani amaizing hivi vifupi mafundi ujenzi wanavitumia kukatia tofali ukikipata hiko utakuja kunishukuru mana nacho shughuli yake si haba.
 
Unaonekana umefuzu kwenye hayo mambo
Sipati picha ungepata nafasi kama ya mtoa mada uyo kijana angekua kwenye hali gani[emoji16]
Ingekuwa uyoga umeota mvunguni[emoji8]
 
[emoji38][emoji38][emoji38]naomba umshughulikie mmoja mkuu uje kuleta mrejesho
Usisahau kuni tag kabisa…
Wana mapepo ya utambuzi hawa! kila nikipita anga zao shikamoo nyingi; utasikia usituwekee kiwingu sepaa...[emoji56][emoji38][emoji38]
 
Wana mapepo ya utambuzi hawa! kila nikipita anga zao shikamoo nyingi; utasikia usituwekee kiwingu sepaa...[emoji56][emoji38][emoji38]
Nahisi watakua ni wale makerubi ya mfalme zumaridi mkuu😆😆😆
Kwa style hiyo utawaweza kweli au tukuchangie hela ya matibabu mapema…
 
Nahisi watakua ni wale makerubi ya mfalme zumaridi mkuu[emoji38][emoji38][emoji38]
Kwa style hiyo utawaweza kweli au tukuchangie hela ya matibabu mapema…
Hata nikiwaota usiku nawafanyizia mmoja mmoja poa[emoji7][emoji38][emoji38][emoji38][emoji39]
 
Hata nikiwaota usiku nawafanyizia mmoja mmoja poa[emoji7][emoji38][emoji38][emoji38][emoji39]

Alooooooohh[emoji38][emoji38][emoji38]hapo kwenye ndoto hatutakua na msaada tena na wewe aiseeee…
 
Mkuu uu uzi bila picha izo likes apo zifutwe mpka aweke picha
 
Alooooooohh[emoji38][emoji38][emoji38]hapo kwenye ndoto hatutakua na msaada tena na wewe aiseeee…
Halafu wana mbio na visingizio utasikia mii sitaki kwanza nanyonyesha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Halafu wana mbio na visingizio utasikia mii sitaki kwanza nanyonyesha[emoji23][emoji23][emoji23]

Nimecheka kwa nguvu wallah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Naomba niishie hapa sitaki tena mrejesho[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kwakweli kwa sasa inahitajika operation ya hivi.... Watatulia tu.....
Mwanzisha thread ameongopa kabisa lakini amefanikiwa kuchota wengi akili. Kila nikisoma mtiririko wa simulizi yake naona hauna ukweli.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], duh hili taifa jipya shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…