Amani kwa pamoja sana .........
u sound so serious and I ask myself duh what have i done to deserve that harshy statement
Ally sijui hata kapotelea wapi...labda kawahi futari magogoni.
daaah samahani aisee... sikukukusudia kabisa! mara nyingine ni ngumu sana kuyasoma maandishi ya mtu na kuelewa kaandika kaitka hali gani!
kobe la mchana yule (samahani Ally natania tu)
alijidai anavidonda vya tumbo...lol!
magogoni deadline ya kufuturisha ilikuwa juma la kwanza la mwezi mtukufu...lol
ooh na ukaidi wake asubiri siku ya idd tu...
Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)[/QUOTE]
hahaaaaa disclaimer mapemaaa umeitundika, daaah unamshaa jamaa eeh?
ally ni mtukutu!! ndio nimesema
Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)
Khabari yako bwana al-khodari? Hivi umenionea antii Muu na da Chichi?
Yule akija hapa anaharibu mood yote na maana ya hii topic
hahahahahah heri mimi sijasema ni bundi (natania)[/QUOTE]
hahaaaaa disclaimer mapemaaa umeitundika, daaah unamshaa jamaa eeh?
ally ni mtukutu!! ndio nimesema
Si umeona amekuja na mafujo fujo yake
duh jamaa noma hatajwi tayari kashakuja
Kwanini Mungu Usiichome moto Marekani ili tukae kwa Amani hapa Duniani?!! yani hilo ni swali langu la kwanza Mengine ntakuja ninayo kama 100..
Si umeona amekuja na mafujo fujo yake
duh jamaa noma hatajwi tayari kashakuja
ukimtaja vinyweleo vinasimama...lol!
ukimtaja vinyweleo vinasimama...lol!
jamaa ana fujo utafikiri anatokea manzese bana
Si umeona amekuja na mafujo fujo yake
duh jamaa noma hatajwi tayari kashakuja
Ukipewa ndizi utafanya nini?
ukimtaja vinyweleo vinasimama...lol!
Ukipewa ndizi utafanya nini?
Ni ya kula kwani ndizi si ni tunda
Ukiujua huu ule huuwezi utachoka miguu kwa utembezi
Ni ya kula kwani ndizi si ni tunda
sogeza viswahili vyako mbelembele, hapa mimi tuki yangu nimeiacha nyumbani
Kanawie mafuta ya nazi uje ule fenesi lako.