Mwene wa Yumbi
Member
- Aug 12, 2011
- 13
- 1
hahaaaaa wewe kweli mtambo wa nyuklia...lol!!
hata kama hujafunga ruksa kufuturisha wenzio, lakini si mpango wa kunawa kwa futa la nazi kisha unilishe fenesi.
nataka nanasi nile kwa nafasi
Unatakiwa utumie akili mara 999 na nguvu mara 1 tu na si kinyume chake.
Nimeachwa njia panda sjui niende kusini au kaskazini au mashariki au magharibi
Ila huyo ndo Ally
Laliwaje hilo nanasi?
njoo kufuturu halafu utaona.....
njoo kufuturu halafu utaona.....
afuturu wakati ni bundi (sorry sijasema)
afuturu wakati ni bundi (sorry sijasema)
Wapendelea sumu ya kukaangwa au ya kusagwa?
Una halua na karimati?
zote sumu sitaki hata moja
hahaaa lol....wee Ally unaona unavoogopwa? ACHA ukorofi
Wataka halua?
ALLY usije kwetu kufuturu, hamna kalimati wala halua.
tumepika manumbu na chai ya maziwa
<br />ALLY usije kwetu kufuturu, hamna kalimati wala halua.<br />
tumepika manumbu na chai ya maziwa
Laliwaje hilo nanasi?
Nimeachwa njia panda sjui niende kusini au kaskazini au mashariki au magharibi
Ila huyo ndo Ally
Ugomvi wa kusini usiulete kaskazi.
njoo kufuturu halafu utaona.....
afuturu wakati ni bundi (sorry sijasema)
Wapendelea sumu ya kukaangwa au ya kusagwa?
hahaaa lol....wee Ally unaona unavoogopwa? ACHA ukorofi
zote sumu sitaki hata moja
chaguo lako ukitaka halua za oman, muscat, Dubai, zipo
kaliamti laini lilokandwa kwa limao
Wataka halua?
Kuniogopa mimi ni sawa na kusubiri embe nyonyo chini ya mwarobaini
Kimeo wewe
wacha mambo ya ajabu
tuko kwenye kumuuliza Mungu hapa
ALLY usije kwetu kufuturu, hamna kalimati wala halua.
tumepika manumbu na chai ya maziwa
Afuturu wakati ni bundi
hapo sijui yuko wapi muda huu anapata supu ya pweza
Nyie watu hapo juu, mwaweza niambia mnachojadili hapa kama kina uhusiano wowote na Kumuuliza Mwenyezi Mungu maswali?<br />
<br />
Hahahahahaha! Chungu cha 24 hicho!