Ukila nyama ya nguruwe (KITIMOTO) inakufanya uwe na akili zaidi

Status
Not open for further replies.


Katika wajanja na wewe umo! Mimi nimeuelewa msamiati wako na mwelekeo wa fikra zako. Ukiziti ku zero in, unakuja kwa nchi ya Tanzania ambako wengine wanakula wengine la! Then ukishuka zaidi, unakuja kwa kundi la watu fulani...Niendelee and niache? Aha naendelea. Ukizidi kuchambua, unatazama hata maamuzi ya wale ambao hawali KIMTO wanavyofanya, uwezo wao wa kufikri, maamuzi nk nk...Niendelea au niachie hapa? Nasubiri majibu...
 

Kwa hiyo Mungu aliyetoa amri ya kutokula Nguruwe nni Mwingine na aliyeruhusu kula Nguruwe ni mwingine tofauti?? Bado umbumbumbu haujakutoka.... Na huo upendo ni AMRI KUU KULIKO ZOTE. In maana kuna zingine!!!! hizo zingine unazijua wewe mgalatia usiye na akili? Ni nani aliyekuloga mpaka usiwe na akili ya kujua maandiko. Sasa katika amri iliyokuu ni UPENDO sasa na zile zingine ni zipi wewe!!! Halafu acha kudanganya kuwa kujua maandiko unahitaji roho mtakatifu.... Sasa hebu nieleze kwa kutumia biblia, nyama ya nguruwe ukiishika au kuila unakuwa mtakatifu? Uongo mwingine bwana.... Hilo andiko la "kiingiacho si najisi bali kimtokacho mtu" hivi kwa akili zako unataka kusema hapa kilikuwa kinaongelewa chakula tunachokula? Pole sana unayekosa kuwa na roho mtakatifu kwa sababu ya kuwa najisi muda wote maana unakula nyama ya nguruwe kila siku.
Mtu mpumbavu utamjua tu. Ni lini Yesu alitangaza kaja duniani kufuta sheria zote? Ni lini umesikia Yesu alikula Nguruwe? Wewe vipi hata nikikupa maandiko hutayasoma kwa sababu ya ulafi wa nyama ya nguruwe na wivu kwa dini ya kiislamu kwa sababu ni dini ya haki. Dini unayoifuata hata Yesu hajawahi kuitamka hata kwa kinywa chake. unafuata dini hewa!!! Maandiko yanasema tofauti na wewe unafuata kitu tofauti.....
Kwa kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhani nguruwe huwa wanadoda unamaanisha waislamu wako wengi kiasi kwamba wanawazidi wakristo uwingi hivyo nguruwe huwa hawatoshi? Pumbavu... Hizo ni propaganda za kuupaka matope uislamu!!! Maana eti mnaita ni dini ya majini wakati majini ni viumbe visivyoonekana sasa ninyi huwa mnavionaje kwamba sisi tunavifuga. kama siyo propaganda ni nini? Mbona ninyi mnaabudu sanamu kila siku (msalaba) hatusemi wala kuwapakazia? mnakula mikate inayotengenezwa na "material" tata..... Mbona hatupigi propaganda? Ishia huko. Maandiko huyajui, mvivu wa kufikiri na dini unayoifuata ni ukafiri wala Yesu hakuwa dini hiyo na ndo maana mnakula nguruwe ambaye hakuwahi kumla. Yesu alikula SAMAKI na mkate tu!!!! Ninyi mnakula Nguruwe...lo!!!
 

Zomba wa JF likes this post !!
Doesn't he ??
 
MUNGU hakuumba vitu vyote viliwe, kwani alitoa vinavyoliwa na visivyo liwa,Angalieni sana nyakati za mwisho watu watapenda sana vile vitu vibaya vyenye sura mbaya.Mfno;Bata, NGURUWE, PWEZA,NGISI,KONOKONO, MBWA, PUNDA nk,.
 
Acha uongo wewe!!!! Qurani haijasema Wakrisot ni wa cha Mungu!!!!! Toa andiko sasa hivi.....
Nimeamini wewe ni kafiri tu!Kumbe hata furqan huisomi eeh!Kasome Q5:82! Au unataka pia sababu nuzul ya hiyo ayat, na muamad kaifundishaje, pia imeshuka wapi? Sema tu dogo mantahofu! Mie Mwana wa Mungu nitakufunulia!
 
Wewe Malyenge ambaye sio mvivu wa kufikiri mimi nataka uwe mwalimu wangu. Hapa nina swali. Tazama picha kisha nijibu maswali yangu matatu

1. Huyu marehemu wa kazi ya mikono ya binadamu, anapofika kwa allah, anahukumiwa tena au ndio mnampunguzia allah kazi?

2. Nani ana hakika kuwa walioshika mawe wao ni safi?

3. Haya mambo yalifanywa na Wayahudi pia, je unafikiri Yesu alituagiza 'sisi wavivu wa kufikiri' kufanya hivi?
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini wewe ni kafiri tu!Kumbe hata furqan huisomi eeh!Kasome Q5:82! Au unataka pia sababu nuzul ya hiyo ayat, na muamad kaifundishaje, pia imeshuka wapi? Sema tu dogo mantahofu! Mie Mwana wa Mungu nitakufunulia!

Mwelezee huyo

 
Wayahudi wanosifiwa kwa ugunduzi hawali kitimoto. Je hapo unasemaje?

ila wachina wanakula kitimoto sana na hawaugui ovyo wana immunity kubwa sana dhidi ya maradhi pia bongo zao zinachemka!sasa hapo which is which?
 
astakafulah makafikili mnavyopenda kula hovyo, lakini yule mdudu jamani ni mtam balaaa acha makafili wafaidi

Dah we jamaa umenichekesha mpaka basi. Kuna watu unawatafuta hapa wazee wa kupanick!!!
 

Kama mtu kaamua kufata mambo ya walawi 11 ajue si kitimoto tu iliyokatazwa pia na bata, ngamia, sungura, prawns,kambare, tasi n.k kwa hiyo suala la kushikia bango kitimoto tu ni unafiki
 

Wewe bado unaendeleza umbumbumbu tu? Hiyo Isaya 66(3) umeielewa wewe? Hapo Mungu anakataza kuchinja hivyo vitu kwa ajili yake! Hivyo havihitaji maana njia za kumwabudu amekwishawafundisha wanadamu... Wewe kweli tutusa!! Tangu lini mtu mwenye govi akawa na roho mtakatifu wa kujua maandiko? Pole sana!!! Hapo Mungu anasema njia za machukizo za kumwabudu mfano kwa kuchinja wanyama hao ni kama kumwua mtu nk. kama inavyosema aya hiyo. Mungu aliweka utaratibu wa kumwabudu amabo si huo wa kuchinja ngo'mbe nk. Anasema hizo ni njia zao tu za kujifurahisha na nafsi zao. yeye amechagua njia zake za watu kumwabudu.... Umeelewa we kilaza wa maandiko? Soma 66(1) mpka 66(4). pole sana. Yaani unachukia mpaka dua za waislamu kuingia chooni kwa kutanguliza miguu? Lo! Jamaa anawivu sana mpaka kuingia chooni kwa dua jamaa anachukia??? Sasa ukisikia waislamu kuwa tohara ndo huko. Unakuwa safi muda wote na saa yoyote ukishika kitabu cha maandiko matakatifu unaelewa tu. Unakuwa mjuzi ndani ya ujuzi.
 

Matusi ya nini sasa. Mimi nilikuwa nakuonesha kuwa yakupasa kuelewa kwanza maneno unayosoma kwenye Biblia yalisemwa kwa nani na ana tamaduni zipi. Km matusi hapa utakimbia kwa sababu dini yako haina hata haja ya kutukanwa kwani yenyewe tu ni kichekesho ukianzia na hicho cha kuingia chooni kwa kutanguliza mguu fulani-
Mungu aliweka utaratibu wa kumwabudu amabo si huo wa kuchinja ngo'mbe nk. Anasema hizo ni njia zao tu za kujifurahisha na nafsi zao. yeye amechagua njia zake za watu kumwabudu.... Umeelewa we kilaza wa maandiko?
Kilaza ni mimi au wewe unayechinja kondoo na mbuzi siku ya Iddi?
 
Kama mtu kaamua kufata mambo ya walawi 11 ajue si kitimoto tu iliyokatazwa pia na bata, ngamia, sungura, prawns,kambare, tasi n.k kwa hiyo suala la kushikia bango kitimoto tu ni unafiki

Kwani wewe hii thread umekuta wamebandika picha ya Ngamia, Sungura ama Kambare? kuweni waelewa ninyi!!!! Tunajadili NGURUWE kama mada inavyosema. Halafu msijidai kulegeza kamba baada ya kuona mmebanwa. Mtoa mada ameileta kwa madoido na matusi kwa waislamu na wasiokula nguruwe kwamba wanaokula wanakuwa na akili kushinda wasiokula. sasa mmeona tumewabana mnajifanya kuongeza mada.... Mwambie mtoa mada aifute au aseme wanyama wote haramu ni watamu na wanasababisha mtu kuwa na akili akila nyama zake!!!! Mmezidi sana kuchokoza waislamu. kama una mada ya Sungura au ngamia ilete lakini kwa sasa tunajadili nguruwe ndo ameonekana ni mtamu pia anasababisha watu wamlao kuwa na akili sana!!!!! Acheni kukimbia hoja!!!!! Mmejitahidi kuhalalisha maandiko lakini imeshindikana mnarukia kwenye sungura nguruwe pweza etc, kwani tulibandika picha ya ngamia humu kwenye hii thread? Si mmebandika ma picha ya nyama ya nguruwe kwenye masahani makubwamakubwa? Tena na nguruwe mmoja amewekwa kwenye oven kama bado alivyo utafikiri amelala? Sasa mambo ya Sungura yanakujaje hapa? Tujadili nguruwe!!!!!!
 

Bora siku ya Idd kuna mnyama nachinja kwa mujibu wa maandiko (including biblia) wewe siku ya krismas huo mti wa mnaonunuaga siku hiyo ni andiko gani linasema mnunue? Na siku ya pasaka nani aliwaambia kuna kitu kinaitwa msalaba siku hiyo? mnaabudu masanamu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…