Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Nenda nunua hio Smirnoff moja, jifungie weka mziki wako unaopenda, inywe taratibu mpaka ikwishe, usizidishe zaidi ya moja, nadhani utalala poa sana, ukipata mda utatuletea mrejesho.
 
Ama easy wines
Kama Saint Anna
Ama Amarula ni tamu u can enjoy

ama sweet red wines
Kuna moja sijui dompo sijui inanuka kama kinyesi
Nilishawahi ona rum jirani wanakunywa aisee..inanuka vibaya mno.


Yaani sikujua kama Kuna pombe inaitwa St Anna.,nimeijulia humu jf baada ya watu kuwa wanauliza I'd yangu.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohhh haha
Yees ur Saint Anna...
Local wines achana nazo wanadai haziko stable😅...jokes...binafsi i do imported only


Rum hizo local ni balaa alcohol yaweza kuwa 50% kimasihara masihara...tunawaachia wazoefu

binafsi i dont do beer or hard liquor
Afterall mwanamke pombe kali za nini?
Unakuta binti mdogoo amelaza bapa anasogea nayo like its nothing🙌🏽🙌🏽😅
 
Pisi zinazolaza bapa zina mapenzi ya kweli balaa ila ukizizingua petroli inakuhusu
 
Sawa mkuu


Siku nitajitoa ufahamu nijaribu.

Ila sijui nitaweza kweli[emoji16].

Sent using Jamii Forums mobile app
Ziko pombe ni nzuri unaweza ukanywa ama ukachanganyiwa kwenye juice ama mocktails na usijue kama umewekewa pombe.

Mfano kuna vermouth (martin bianco ama martin rosso)hizi ni sweet and sour, na hazina kale kaukali ka u spirit, ukionja utataka uongeze tena na tena na tena mwisho utalewa kabisa.
 
Yaani hata hizo local imported sizijui.
Inshort sijui chochote kuhusu pombe.
Naona mnataja tu majina,natoa macho.


Watu walikuwa wanauliza eti at Anne umejiita sababu ya ile pombe?
Nikajiuliza pombe gani tena jamani[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…