Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Sasa ukiwa umelewa kwenye level kama hizi halafu dj apige "hakuna Mungu kama wewe" au "I know who I am"

Unaufeel kabisa ukuu wa Mungu Baba Bwana na mwokozi wako katika maisha yako "jioni hii ya leo" (in wahubiri's voice)

Your browser is not able to display this video.
 
Saint Anne unataka kulewa?

Lewa mama

Hapa nasikia music kama mwangi Yaani sipo duniani lakini siachi kunywa beeeer
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila nahisi kuna raha yake kuwa katika hiyo hali.

Ila wewe utakuwa haujalewa,
Mbona unachat tu vizuri[emoji848],
Kumbe ukilewa akili inabaki vilevile tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukiwa umelewa kwenye level kama hizi halafu dj apige "hakuna Mungu kama wewe" au "I know who I am"

Unaufeel kabisa ukuu wa Mungu Baba Bwana na mwokozi wako katika maisha yako "jioni hii ya leo" (in wahubiri's voice)

View attachment 1874694
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseeee.

Kuna clip niliona, ilikuwa ni show za kilimanjaro zile au fiesta.
Wakaweka huo wimbo" hakuna MUNGU"
Wacha walevi waruke[emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ukiwa umelewa kwenye level kama hizi halafu dj apige "hakuna Mungu kama wewe" au "I know who I am"

Unaufeel kabisa ukuu wa Mungu Baba Bwana na mwokozi wako katika maisha yako "jioni hii ya leo" (in wahubiri's voice)

View attachment 1874694
Walah najiona mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapokula monde inategemea na mood ya mziki, ikipigwa gospel feeling zinaenda mbinguni kabisa.
 
Walah najiona mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Unapokula monde inategemea na mood ya mziki, ikipigwa gospel feeling zinaenda mbinguni kabisa.
Yani unamshukuru Mungu kwa vingi ndaniya wakati huo... kakujaalia uwezo wa kununua na afya njema kias cha kuweza kunywa uufaidi uumbaji wake. Lazma feeling ziende mbinguni tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…