Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Huwaga lazma wapige chenji tu sababu unakuta kapiga wali marage wake safi kisha unamtungua na kitu cha uwele safi nyongo lazma ishtuke [emoji28][emoji28][emoji28]
Halafu Bora mmeniambia mapema.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wali maharage
Mimi nataka tamu tamu tu,zenye sukari.Njoo uonje na mimi tutakunywa wine moja inaitwa Grants nzuri sana hasa ukimix na coca!
Ngoja nitajaribu.Ukishindwa wine hamna pombe utaiweza
Safari ni chungu wakati unaanza chupa ya kwanza ila ukiendelea inakuwa na note flani ya sukari ambayo inaupoteza ule uchungu wakati unaimeza!Kwanza nasikia bia ni kali halafu mbaya mdomoni..mimi kitu kibaya au kichungu siwezi hata kunywa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakikisha upo nyumbani lakini au room kwako kisha jilipue [emoji28] ukimaliza anza kutembea uone unausikiaje mwili!
[emoji23]Kwani unadhani ile chakali inaanzaga siku ya kwanza?? AHahahahahaa Slow but sure, kwenye mwaka wa tatu hukooo.. !! Halafu ukute na home amekuchanganya sasa..!! Ahahahaha Unapiga chakali ya maana
Duh!Hahahah kipigo cha huku ni cha mkuyenge tu [emoji28] hamna kipigo kibaya kwa warembo
Mapombe magumu hayo nadhani sitaweza hata kujaribu.Safari ni chungu wakati unaanza chupa ya kwanza ila ukiendelea inakuwana ka note flani ka sukari ambako kanaupoteza ule uchungu wakati unaimeza!
Ila kasheshe ikianza kupenya kwenye damu mfano ukipiga mabuyu mawili yale ya buku 3/3 ukayamaliza kwa wewe mgeni lazma ufanye vituko aisee..
Binafsi nilipoanzaga kuitest safari nikagundua ni bia nzuri ila naamka kama mgonjwa na mie pombe za hivyo sizipendagi[emoji28]!
Safari,Castle,Chui black,Konyagi,K-Vant hizo ukinikuta nakunywa jua nanunuliwa au ndio pombe zilizopo ila kwa pesa yangu sinunui hizo!
Baltika unaijua?Ngoja nitajaribu.
Ila nina imani naweza kunywa maana grand Malt nakunywa pamoja na ubaya wake wote.
HapanaBaltika unaijua?
Nakutania bana wee! Anza kufanya hivi kama unataka uujue uchungu wa pombe kuna kinywaji kinaitwa baltika nenda bar yeyote jirani kaiulizie utakuta wanayo lazima nunua haitazidi buku 3!Duh!
Basi siwezi hudhuria huko
Itafte bar yeyote jirani uinywe, ukiiweza ladha yake jua na bia umeshaiweza. Ile ni beer ambayo haina kilevi!Hapana
Utaweza tu mbona unakuja vizuri sahizi now you are getting matured![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo nitajaribia nyumbani.
Club sidhani kama naweza kaa[emoji1751]wengine dini zilitulimit Sana.
Sitaki bia,nataka wine.Nakutania bana wee! Anza kufanya hivi kama unataka uujue uchungu wa pombe kuna kinywaji kinaitwa baltika nenda bar yeyote jirani kaiulizie utakuta wanayo lazima nunua haitazidi buku 3!
Ile ni beer by 100% sema haijawekwa kilevi ila flava yake ni ya bia kabisa. Kunywa baltika ukiiweza jua beer utaiweza
Mimi habari za bia sitaki hata kusikia..kama ni kujaribu nitajaribu tu hizo wine walizoniorodhoshea wadau.Itafte bar yeyote jirani uinywe, ukiiweza ladha yake jua na bia umeshaiweza. Ile ni beer ambayo haina kilevi!
[emoji23][emoji23]Utaweza tu mbona unakuja vizuri sahizi now you are getting matured!
Hahahah huendi bar bana kwani si kuna Liqour stores zina sehem za kukaa! Unapiga kilaji taratibu ukichoka unasepa au unabeba unaenda nywea home[emoji23][emoji23]
Yaani nikakae bia nakunywa?
Watahisi nimevamiwa na mapepo[emoji1787]
Ahahahahaha karibu kwenye chama..!! Ile ushauri wangu, siku ya kwanza lewea au nywea nyumbani, tena chumbani na ufunge milango kabisaa..!! Maana unaweza shangaza hadi wanaokuzunguka. Na bahati mbaya hujijui ukilewa unakuwaje..!! Ukilewea mbali, unaweza jikuta umelala mtaroni maana kuna kukosa nguvu za kufika home..!![emoji23]
Lengo langu ni kujua tu namna kulewa kunavyokuwa.
Mimi nahisi watu huwa wanatupiga kamba tu,hakuna kitu kinaitwa kulewa.
Walevi mna ushawishi[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahah huendi bar bana kwani si kuna Liqour stores zina sehem za kukaa! Unapiga kilaji taratibu ukichoka unasepa au unabeba unaenda nywea home