Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Huwaga lazma wapige chenji tu sababu unakuta kapiga wali marage wake safi kisha unamtungua na kitu cha uwele safi nyongo lazma ishtuke [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Eti wali maharage
Halafu Bora mmeniambia mapema.
Maana bila kujua ningekula zangu wali maharage[emoji23][emoji23][emoji23]halafu nikashushia wine.
 
Kwanza nasikia bia ni kali halafu mbaya mdomoni..mimi kitu kibaya au kichungu siwezi hata kunywa.
Safari ni chungu wakati unaanza chupa ya kwanza ila ukiendelea inakuwa na note flani ya sukari ambayo inaupoteza ule uchungu wakati unaimeza!

Ila kasheshe ikianza kupenya kwenye damu mfano ukipiga mabuyu mawili yale ya buku 3/3 ukayamaliza kwa wewe mgeni lazma ufanye vituko aisee..ikianza kupanda inapanda vuuuup yani ghafla unakuwa umelewa kinyama yani kama huna stamina lazma ujikojolee kisha unazima😅😅😅

Binafsi nilipoanzaga kuitest safari nikagundua ni bia nzuri ila naamka kama mgonjwa na mie pombe za hivyo sizipendagi😅!

Safari,Castle,Chui black,Konyagi,K-Vant hizo ukinikuta nakunywa jua nanunuliwa au ndio pombe zilizopo ila kwa pesa yangu sinunui hizo!
 
Hakikisha upo nyumbani lakini au room kwako kisha jilipue [emoji28] ukimaliza anza kutembea uone unausikiaje mwili!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata hivyo nitajaribia nyumbani.

Club sidhani kama naweza kaa[emoji1751]wengine dini zilitulimit Sana.
 
Kwani unadhani ile chakali inaanzaga siku ya kwanza?? AHahahahahaa Slow but sure, kwenye mwaka wa tatu hukooo.. !! Halafu ukute na home amekuchanganya sasa..!! Ahahahaha Unapiga chakali ya maana
[emoji23]
Lengo langu ni kujua tu namna kulewa kunavyokuwa.

Mimi nahisi watu huwa wanatupiga kamba tu,hakuna kitu kinaitwa kulewa.
 
Safari ni chungu wakati unaanza chupa ya kwanza ila ukiendelea inakuwana ka note flani ka sukari ambako kanaupoteza ule uchungu wakati unaimeza!

Ila kasheshe ikianza kupenya kwenye damu mfano ukipiga mabuyu mawili yale ya buku 3/3 ukayamaliza kwa wewe mgeni lazma ufanye vituko aisee..

Binafsi nilipoanzaga kuitest safari nikagundua ni bia nzuri ila naamka kama mgonjwa na mie pombe za hivyo sizipendagi[emoji28]!

Safari,Castle,Chui black,Konyagi,K-Vant hizo ukinikuta nakunywa jua nanunuliwa au ndio pombe zilizopo ila kwa pesa yangu sinunui hizo!
Mapombe magumu hayo nadhani sitaweza hata kujaribu.
 
Duh!
Basi siwezi hudhuria huko
Nakutania bana wee! Anza kufanya hivi kama unataka uujue uchungu wa pombe kuna kinywaji kinaitwa baltika nenda bar yeyote jirani kaiulizie utakuta wanayo lazima nunua haitazidi buku 3!

Ile ni beer by 100% sema haijawekwa kilevi ila flava yake ni ya bia kabisa. Kunywa baltika ukiiweza jua beer utaiweza
 
Nakutania bana wee! Anza kufanya hivi kama unataka uujue uchungu wa pombe kuna kinywaji kinaitwa baltika nenda bar yeyote jirani kaiulizie utakuta wanayo lazima nunua haitazidi buku 3!

Ile ni beer by 100% sema haijawekwa kilevi ila flava yake ni ya bia kabisa. Kunywa baltika ukiiweza jua beer utaiweza
Sitaki bia,nataka wine.
 
[emoji23][emoji23]
Yaani nikakae bia nakunywa?

Watahisi nimevamiwa na mapepo[emoji1787]
Hahahah huendi bar bana kwani si kuna Liqour stores zina sehem za kukaa! Unapiga kilaji taratibu ukichoka unasepa au unabeba unaenda nywea home
 
[emoji23]
Lengo langu ni kujua tu namna kulewa kunavyokuwa.

Mimi nahisi watu huwa wanatupiga kamba tu,hakuna kitu kinaitwa kulewa.
Ahahahahaha karibu kwenye chama..!! Ile ushauri wangu, siku ya kwanza lewea au nywea nyumbani, tena chumbani na ufunge milango kabisaa..!! Maana unaweza shangaza hadi wanaokuzunguka. Na bahati mbaya hujijui ukilewa unakuwaje..!! Ukilewea mbali, unaweza jikuta umelala mtaroni maana kuna kukosa nguvu za kufika home..!!
 
Back
Top Bottom