Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Piga msosi mixa nyama nyama au michemsho flan kwanza kabla haujaanza kukata kiu na vyombo baridi barafu.
 
Kumbe!
Basi mtu anaweza kunywa glass moja tu na akawa vizuri.

Kwahiyo unajiona kabisa kuwa umelewa?
Unakuwaje kuwaje !?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulinichekesha ujue[emoji1787]
Halafu jamaa unakata kvant kama maji tu!
Inawezekana wanaweka tu maji mule wanatuzuga kuwa ni pombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mishale tunayokwepa hapa duniani usipotumia kilevi utakufa mapema
 
Kamata wine mda huu hapo room tia kwenye glass anza kunyonya mama..
Muda huu siwezi kutoka kwenda kununua mkuu,nitakabwa na vibaka njiani.

Halafu hata nikinunua nitafanya kimyakimya,,wakishaniona tu watajua mapepo yamenivamia.
Kwanza sijui hata naendaje kununua pombe[emoji23].

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yan. wewe ukamsikiliza yule mr. Coffee

Kutapika kupo kama utakula wali ndio unywe pombe. Au ukimix... Kuna siku nilimix vitu mimi kesho yake asubuh niliamkia kutapika 😂 nilijutaa

Nilianzia serengeti lite nikaona kama imekuwa chungu sana nikaiacha. nikaenda kwenye redds nikaona kama silewi nikapiga tot ya grant's. Tukahama kiwanja tulikohamia ikaagizwa saint Anna ikaisha tukaagiza dompo 'hii dompo niliwashauri, dompo ukimix na ice inakuwa tamu sana.


Weee kilichotukuta kesho yake? Tuliumwa mning'inio wa hatari, fanta haisikii, coka haisikii, soup haisikii mwili umechoka Chakula hakipandi, tulikuja kupona jioni baada ya kushtua na desperados.

Yan hapo ndio utajua drink responsibly uwa wanamaanishaje 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nikilewa utanirudisha?
Halafu ikifika jioni pombe hazijaisha kichwani itakuwaje?
Huo msala ntakaopata nyumbani[emoji2],

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukilewa unatibiwa na maji mengi na msosi, utakaa sawa baada ya muda. At least ukifika tu home unasalimia then straight kulala. Ukinywa the right amount utapata usingizi mmoja mramu hujawahi ona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe unaongea kama Iso,
Anasema yaani mtu anajiita Holy Man na wewe saint Anne halafu mnashauriana kuhusu pombe,mtashauriana nini Cha maana hapo?
Eti piga vyombo wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilicheka sana.


Naogopa sana kutapika aisee,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…