Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

Ukilewa huwa unakuwa na tabia gani?

😂😂😂😂😂😂😂 wakati unalia huwa unasema nini? 🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi hua naanza kulia nikigida sana hasa nikipiga za kawaida then uniongezee k vant ntalia weee kama mtoto
 
Utakuja kuamka ujikute na Birthday suit halafu sehemu usiyoijua wahuni washasepa 😂😂😂 baada ya kufanya yao. Shauri yako wahuni si watu.
A wapi [emoji23]
Kwanza mimi nadhani siwezi kulewa.

Yaani kabisa nilewe!!
Mbona chai huwa nakunywa na nakuwa fresh tu!
Mimi nahisi huwa wanatudanganya hawalewi wala nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom